Maelezo Kutoka kwa NesiWangu kwa Mhe. Balozi Mulamula |
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nchi za Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mmula alijumuika nasi pamoja na wanawake wengi toka majimbo mbalimbali wakieleza na kuonyesha kazi zao na pia kutumia muda mfupi kuongea na wananchi waliohudhuria kuhusu kazi hizo.
Maadhimisho hayo yaliandaliwa na Tano Ladies
yalifanyika katika ukumbu wa Hampton Inn uliopo College Park jimbo la Maryland
Haya ni maelezo yangu kwenye sherehe hiyo . Shukrani; Jamii and Media Group Production
Comments
Post a Comment