Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2015

YAMEBAKI MASAA MACHACHE KUPATA HUDUMA YA MENO KWA BEI NAFUU.

HUDUMA YA MENO KWA 50% OFF INAFIKIA KIKOMO JUMATATU TAREHE 1/6/2015 SAA 6:00 USIKU SHUKURANI ZA DHATI KWA DR. TAALIB ALI WA AVATAR DENTAL CARE 545 G. East Market Street Leesburg,VA 20176 TEL# 703-669-8600 Dr.Taalib katika jengo la Avatar Dental Clinic Dr.Taalib Ali Avatar Dental Clinic hutoa huduma hata kwa watoto                                                            Machine ya X-ray na ya  kuua vijidudu                                                                                                Dr. Taalib akiwa Kazini 545 G. East Market Street Leesburg,VA 20176 703-669-8600 Shukrani;Images Avatar Dental Care

SHIRIKA LA ROTAPLAST INTERNATIONAL LAKULETEA UPASUAJI WA BURE KATIKA HOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA - TANZANIA

  Shukrani;  Rotaplast Images;  www.bourgetfoundation

Global Health Catalyst Participation Opportunity

Att.African Diaspora We are currently exploring an opportunity for African Diaspora Members to partner with the Dana Farber / Harvard Cancer Center. If you are interested in getting involved please send  e-mail to  lasana @aracor poration.org with the answers to the two questions below: Would you be willing to partner with the Dana Farber/Harvard Cancer Center global health catalyst program in the fight against cancer in Africa?   In what areas would you be able to collaborate: Outreach (e.g. Advocacy, resource mobilization, awareness etc); Education/training;  research;  Clinical care; Other (please list all that apply and  include any details or descriptions you would like to share with us )                For more Info. For the 2015 GHC Summit Committee http://www. globalhealthcatalystevents.org http://www. globalhealthcatalystevents. org/#!presentations/ct6z http://www. globalhealthcatalystevents. org/#!image-gallery/c12t8

TEAM TANZANIA YASHIRIKI MATEMBEZI YA SUSAN G.KOMEN WASHINGTON,DC

TIMU TANZANIA YASHIRIKI MATEMBEZI YA SUSAN G. KOMEN WASHINGTON, DC Timu Tanzania ikipata picha ya pamoja kabla ya kuanza matembezi ya saratani ya matiti ya Susan G. Komen yaliyofanyika Washington, DC siku ya Jumamosi May 9, 2015. Wanusurika wa saratani ya matiti wakipata picha ya pamoja. Matembezi yakianza. Kushoto ni msaniii toka uingereza Matt Goss aliyeimba wimbo maalum wa Strong kwa ajili ya matembezi haya ya Susan G. Komen ambaye mwaka jana mama yake mzazi alifariki kutokana na maradhi ya saratani ya matiti akipeana mkono na watembeaji wa saratatani ya titi. Kati ni Nancy G. Brinker mdogo wake Susan G. Komen akipeana mkono na watembeaji siku ya maadhimisho ya matembezi ya saratani ya matiti kwa kumuenzi dada yake kwa kuanzisha oganaizesheni ya kupigana na gonjwa hili hatari mwaka 1982 kama ahadi aliyomwekea dada yake. Mmoja ya watembeaji na mnusurika wa saratani ya titi akipatiwa huduma ya kwanza na watembeaji wenzake baada ya kuanguka na kupata majeraha kwenye paji