Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2014

LEO TUNAZUNGUMZIA HALI IJULIKANAYO KAMA MSONGO NA MFADHAIKO WA KIAKILI ( STRESS)

                                        Maisha ya leo sio ya jembe na panga lakini  jasho lake ni kali.Wengi tuna kazi  nyingi na muda ni kidogo.Japo stress kidogo yaweza kuimarisha utendaji wetu,stress ikizidia au ya muda mrefu huwa ni hatari kwa usalama. Msongo na mfadhaiko wa kiakili (Stress) tunaohisi, ni jibu au tokeo la mwili uliotahadhariwa kuwa hali inayoendelea imefika kiwango kinachozidi na kuelemea na hivyo mwili wapewa tahadhari kujiandaa kukabiliana na hali yeyote itakayojitokeza (defence mechanism). Hali hii hupelekea maumbile ya mwili kujiandaa kwa kuzalisha hormones ziitwazo; adrenaline , cortisol na norepinephrine ambazo  kwa haraka hupandisha shinikizo la damu ( blood pressure), mapigo ya moyo, pumzi na kuongeza sukari mwilini ili misuli ipate nguvu ya kukabiliana na shambulizi linalohisiwa. Iwe ni  kupigana,kukimbia au kupata butwaa (“fight , flight or freeze response.”) Tatizo ni pale stress inapokuwa ni ya muda mrefu na kusababisha homoni tu
NINI HASA FAIDA ZA MAZOEZI ? Kupunguza cholesterol mbaya mwilini,hivyo kupunguza hatari za magonjwa ya moyo    Kupunguza blood pressure na hatari zake eg. stroke Control  kisukari (diabetes) Kuimarisha utendaji wa  moyo  na mapafu Kupunguza mwili Kuimarisha misuli ya mwili Kupunguza kasi ya kupoteza  uhimara wa mifupa ( slows loss of bone mass) ‘osteoporosis’ Kurahisisha usagaji na mzunguko wa chakula Kupunguza msongo wa mawazo au uzuni (depression and stress) Shukrani; Washington Hospital Center Fierceforblackwomen.com/