Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2015

TIMU YA NesiWangu IKISHIRIKIANA NA AFRICAN AMERICAN HEALTH PROGRAM INAWALETEA UCHUNGUZI WA AFYA YA MOYO, NYOTE MNAKARIBISHWA!

DR.na MAMA WILLIAM WAKIZUNGUMZIA MCHANGO WAO KATIKA UWANJA WA AFYA NCHINI TANZANIA, KATIKA KIPINDI CHA HUYU NA YULE.!

Karibu kwenye mahojiano ya Dr na Mama Williams. Waasisi wa AHEAD Inc. Taasisi ambayo iliasisiwa mwaka 1985 na inajishughulisha kubadili maisha ya wengi nchini Tanzania kupitia Elimu, Stadi za Maisha, Afya ya Mama na Mtoto na pia kuzisaidia jamii mbalimbali.. Wamezungumzia mengi kuhusu namna walivyofika Tanzania kwa mara ya kwanza 1974. Kilichowapeleka, walivyoamua kubaki huko mpaka sasa, shughuli za Taasisi yao na mengine mengi Karibu Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog na kuzalishwa na Kwanza Production Kwa mawasiliano, maoni ama ushauri, tafadhali wasiliana nasi kupitia kwanzaproduction at gmail.com Attachments area Preview YouTube video Mahojiano na Dr na Mama Williams

USIKOSE UCHUNGUZI WA AFYA YA MOYO DMV !.

DR. TAALIB, ALI AKITOA FAFANUZI YA AFYA YA MENO KATIKA KIPINDI CHA HUYU NA YULE!

Karibu katika kipindi cha HUYU NA YULE ambapo wiki hii tumeongea na Dk Talib Ali Yeye ni mwanzilishi wa Avatar Dental Care iliyopo Leesburg Virginia. Ameeleza mengi kuhusu kazi zake na mikakati aliyonayo baadae Pia, ametoa punguzo la 50% kwa waTanzania watakaoenda kutiiwa kwake, pamoja na mpango wa malipo ya awamu kuwzesha watu kumudu gharama hizo Karibu Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog na kuzalishwa na Kwanza Production Kwa mawasiliano, maoni ama ushauri, tafadhali wasiliana nasi kupitia kwanzaproduction at gmail.com . Attachments area Preview YouTube video Mahojiano na Dr Talib Ali Mahojiano na Dr Talib Ali

MWANADMV HAKIKISHA UNAPATA BIMA NAFUU YA AFYA KABLA YA TAREHE 15 /02 /2015 KATIKA ANUANI ZIFWATAZO ....

Open Enrollme MONTGOMERY COUNTY ENROLLMENT LOCATIONS Up County Down County Germantown Regional Services Center Silver Spring Services Center 12900 Middlebrook Road, Second Floor 8818 Georgia Avenue Germantown, Maryland Silver Spring, Maryland Monday, Wednesday, Thursday and Friday: Monday, Wednesday, Thursday and Friday: 9:00am - 4:30pm 9:00am - 4:30pm Tuesdays: 9:00am - 7:00pm Tuesday: 9:00am - 7:00pm Saturdays: 10:00am - 4:00pm Saturdays: 10:00am - 4:00pm Closed December 6 Closed December 6 and January 31 Korean Community Service Center Silver Spring Health Center of Greater Washington 8630 Fenton Street, 10th Floor 847-J Quince Orchard Boulevard Silver Spring, Maryland Gaithersburg, Maryland Monday to Friday: 9:00am - 4:00pm 240-683-6663 Monday through Friday: 9:00am - 5:00pm Holy Cross Hospital (Interfaith Works) 1500 Forest Glen Road Family Services, Inc. Silver Spring, Maryland 200 Girard Street, Suite 203 Saturdays: 10:00am - 4:00pm G

MWANZILISHI wa MEDICAL and DIALYSIS CENTER, DAR ES SALAAM DR.CHRISPIN SEMAULA KATIKA KIPINDI CHA HUYU NA YULE

Karibu katika kipindi cha HUYU NA YULE ambapo wiki hii tumeongea na Dr Crispin Semakula. Daktari wa magonjwa ya kisukari, shinikizo la damu na pia Mwalimu wa Afya katika Chuo Kikuu nchini Marekani Pia ni mwanzilishi wa Access Medical and Dialysis Center iliyopo Dar Es Salaam Ameeleza mengi kuhusu maradhi anayoshughulika nayo na pia kituo chake. Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog na kuzalishwa na Kwanza Production Kwa mawasiliano, maoni ama ushauri, tafadhali wasiliana nasi kupitia kwanzaproduction at gmail.com Shukrani; Vijimambo Blog na Kwanza Production