Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2016

MOJA YA MAJIPU YANAYOIKUMBA JAMII YETU.

Kutoshiriki na kujitolea  katika kuchangia  rasilimali kwa ajili ya matumizi yetu sote kwa ujumla ni  jipu linaloikuimba jamii yetu. Pengine labda ni tamaduni  au  binafsi hayajatusibu. Lakini, pale yatakapotukuta  sio tu  familia, ndugu, jamaa au marafiki bali jamii kwa ujumla huangaika kutafuta namna ya kupata huduma au  kukidhi garama za  tiba ambazo hazishikiki. Sio vibaya kwa jamii yako kuwa ya msaada, bali njia hiyo  haileti utatuzi endelevu. Tufahamu kwamba tuko katika  nchi iliyoendelea na yenye mifumo mbali mbali iliyodhihirika kutoa  utatuzi endelevu kwa  watu kama sisi na wengine wengi wasio na ndugu,rafiki au jamii inayowajali. Hivyo basi pale tunapoombwa kushiriki katika jitihada za kukusanya senti za kutusaidia kwa ujumla au HARAMBEE basi tufanye kama tunavyochangia harusi zetu, tukijitokeza  kwa wingi,  tena kwa vifijo na ngoma, Susan G.Komen hutoa msaada mkubwa tu hata kwa ndugu zetu wahitaji nyumbani Tanzania na yeye hushiriki binafsi na kuona bendera zinazopeperu

MKUTANO WA HARAMBEE HARVARD UNIVERSITY WAALIKA WADIASPORA

http://www. globalhealthcatalystevents. org/ Africans in Diaspora united @ 2016 Harvard Summit Members of the Africans Diaspora Community are cordially invited to attend the 2016 Global Health Catalyst (GHC) Summit at Harvard Medical School Boston April 29-30, 2016.   Africa is on the rise, and public health is the anchor of economic health and individual well being, in Africa and elsewhere. The objective of the 2016 Harvard summit is to provide a forum for discussion, development and adoption of tangible actions that can be taken as well as innovative approaches to catalyze high impact international collaborations with African institutions in healthcare and development. The focus will be on cancer prevention and control and the achievement of universal health coverage benefiting African communities.  This will continue in the tradition of the highly successful 2015 summit  (see http://www.globalhealthcatalystevents.org/ ) and advance discussions, w