Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2014

FURSA YA ELIMU AFYA DMV

FREE CPR* Training Opportunity [* Cardiopulmonary Resuscitation]   Completion of the CPR training allows an individual to receive their CPR Certification that may be required for certain jobs plus prepares individuals to respond to medical emergencies with their families and in their work settings. For more information about the CPR training contact TROY MASSA at Health and Safety International ,  202-695-3663 , or  301-915-7085 , or email at  healthsafetyintl@gmail.com .     Certified Nursing Assistant Training Opportunity – Classes Begin September 2014   “ Accelerating Connections to Employment  (ACE) is accepting applications for a cost-free  Certified Nursing Assistant Training program  for low-income, low-skilled Maryland adults to participate in a Department of Labor sponsored training study.  For more details, and to apply for the training program, attend an Information Session.  Information and Application Sessions are held at  10 am every Friday am at Montgome

NAFASI YA KAZI DMV

The Census Bureau is recruiting qualified applicants in Montgomery County, MD and the District of Columbia! HOW TO APPLY:  Call  1-888-480-1639  for information on how to apply. A minim of 1,000 people in Montgomery County and DC are needed for FIELD STAFF for temporary positions with a pay range of $14.00 to $21.50 per hour.  The Census Bureau opened the Local Census Office (LCO) in Silver Spring, MD to conduct the 2014 Census Test.  Join the Census team to achieve a successful 2020 Census ! Background: The U.S. Census Bureau is researching advanced methods for individuals to complete their civic obligation to be counted in the 2020 Census.  The 2014 Census Test will test new methods and advanced technologies to conduct the 2020 Census.   The 2014 Test will take place from June 23, through September 25, with Census Day on July 1, 2014.   The test will be conducted in portions of Washington D.C., and Montgomery County, MD. The 2020 Census will maintain the highest quality

UPUNGUFU WA POTASSIUM MWILINI, WAWEZA KUWA TISHIO KWA USALAMA WA MOYO !.

NDIZI HUSIFIKA KWA UTAJIRI WAKE WA MADINI YA POTASSIUM Potassium ni moja  kati  ya madini muhimu ya chumvi chumvi mwilini.Ikisaidiana na chumvu chumvi nyingine kama Calcium, Magnesium na Sodium. Potassium ni muhimu sana kwenye usimamiaji wa kiwango sahihi cha maji mwilini, utendaji wa cell na kikubwa zaidi  uanzishaji wa mwendo ( conduction of  electricity) katika  misuli ya mwili yenye mwendo hiari na mwendo usio wa hiari. Hivyo, hupelekea mwamko katika mishipa ya moyo inayohusika na huwa ndio chanzo cha mapigo yanahusika na msukumo wa  damu mwilini. ( generates heart bit) Mahitaji ya Potassium kwa mtu mzima ni kati ya milligram zisizopungua 3,500 ml. kwa siku kutoka kwenye lishe. Ili mwili wa binadamu uweze kuendelea na utendaji wake, potassium iliyoko katika mzunguko wa damu yahitaji kuwa kati ya 3.5-5.0mEg/L. Kiwango hiki kikipopunguwa hutupelekea hali ijulikanayo kama; Hypokalemia au Upungufu wa Potassium katika damu. Vile vile kiwango hiki kinapozidia huitwa H

NesiWangu KATIKA SIKU YA MAADHIMISHO YA KUTIMIZA MIAKA MIWILI TOKA KUANZISHWA KWA "TANO LADIES".

Mwanzilishi wa NesiWangu, Madam Harriet Shangarai,  akiwakumbushia Wanadiaspora umuhimu wa kuthamini afya zao  na kutambua jukumu lao katika maendeleo ya jamii . Mjasiriamali maarufu kutoka Dar es salaam  Madam 'Aika Lawere', akizungumza na Wanadiaspora katika Ufunguzi wa sherehe hizo. Mtunzi wa kitabu cha mapishi   "The Taste of Tanzania"  Madam Miriam Kinunda, akizungumza na Wanadiaspora katika ufunguzi  huo. Mwanzilishi wa shirika la Help Underserverd Communities (HUC),  Madam 'Zawadi Sakapalla' akieleza malengo  na mafanikio makubwa ya shirika lake.               Mafunzo ya fedha katika familia yalitolewa kwa Wanadiaspora Wageni waalikwa wenye shirika la kutoa mafunzo na huduma za Saratani ya Maziwa  Africa Women Cancer Organization (AWCA) wakizungumza katika shughuli hiyo.  Viongozi wa Jumuiya ya DMV Iddy Sandaly na Liberatus Mwang'ombe wakiunga mkono juhudi za TANO LADIES na wanawake kwa ujumla.               Picha ya

MUIGIZAJI MWENYE MAADILI YA KUIGWA “NADIA BUHARI “

Habari zilizoenezwa na tovuti ya ‘Jaguda’ nchini Nigeria zasema, mwigizaji Nadia Buhari asitisha mkataba wa dola 75,000$ wa  kuingiza vipodozi vya kampuni ya Ufaransa  ‘Avant Claire Grande' katika bara la Africa. Kampuni hiyo iliyoukubali urembo wa binti huyu na kutaka awe nembo ya kuwakilisha vipodozi vyao yasemekana kutumia  mchanganyiko wa kemikali ya' Hydroquinone' inayotumika katika kublichi au kuchubua ngozi na yenye kuleta madhara ya afya. Akisitisha mkataba huo jijini Paris, Nadia Buhari alisema kwamba hakuna idadi ya pesa itakayomfanya akiuke maadili mema. BAADHI YA VIPODOZI VYA KAMPUNI YA AVANT CLAIRE shukrani,  Images www.fuse.com.ng http://www.jaguda.com/

MAISHA NI SAFARI NDEFU!

KAKA YETU MPENDWA ERIC BAHUNDE ALIYEPATA AJALI YA KUSIKITISHA AMESHATOKA HOSPITALI NA ANATOA SHUKRANI ZAKE ZA DHATI KWA UPENDO MKUBWA MLIYO MWONYESHA. VILEVILE NDUGU YETU ERIC  BADO ANAHITAJI MICHANGO YETU KWA HALI NA MALI. IKIWA UMEGUSWA NA HABARI HII WAWEZA KUWAKILIHSA MCHANGO WAKO;              ACC # 3900681515 JINA: ELISHA BAHUNDE WELL FARGO BANK. Shukrani; Images VIJIMAMBO BLOG

JE WAJUA ANEMIA NI TATIZO SUGU KATIKA JAMII.

Ripoti nyingi za wanasayansi zinaonyesha kwamba tatizo la upungufu wa damu mwilini ni tatizo linalosumbuwa zaidi jamii ya watu weusi. Tatizo hili lijulikanalo kwa jina la Anemia, husababishwa na upungufu wa iron au madini ya chuma mwilini yanayohusika katika utengenezaji wa chembechembe nyekundu za damu ( hemoglobin) Kazi kubwa ya chembechembe hizi mwilini ni kusafirisha  hewa ya Oxygen kutoka  kwenye mapafu kuelekea   kwenye tishu au sehemu mbali mbali za mwilini. Hivyo  upungufu wa chembechembe nyekundu za dam mwilini  hutupelekea uhafifu wa mgao wa oxygen kwenye damu na hivyo kuulazimisha moyo kufanya kazi kwa nguvu zaidi ili kufikisha oxygen katika viungo mbali mbali. Hali hii hupelekea moyo kuongeza kasi ya mapigo japo mgao wa damu bado ni hafifu; hali hii hutuacha na hisia za kuishiwa pumzi na hata kupelekea maumivu ya kifua hasa wakati wa zoezi kama kutembea,kupanda ngazi nk. uchovu wa mwili, maumivu ya kichwa, kizunguzungu, kichefuchefu na mengine mengi.