Skip to main content

Posts

Showing posts from 2016

Je Watambua Dawa Ijulikanayo kwa Jina la PrEP au Truvada?.

Shirika la utawala wa vyakula na madawa nchini Marekani lijulikanalo kama FDA, lilihakiki dawa ijulikanayo kama Prep ( Pre - Exposure Prophylaxis) yenye uwezo wa kupunguza hatari za maambukizi ya ugojwa wa Ukimwi. Shirika hilo limeitambua dawa hii na kuruhusu matumizi yake ili kupunguza maambukizi ya ugojwa wa ukimwi kwa watu walio katika mazingira ya hatari na maambukizi mfano; mahusiano ya watu wawili ikiwa mmoja yupo  Positive na mwenzie yupo Negative, watu wenye kutumia au kujidunga dawa za kulevya, na wale walio katika mahusiano ya jinsia moja.                                                       Dawa hii yenye muonekano wa kidonge hushauriwa kutumika mara moja kwa siku bila kukosa dozi kwani kusahau dozi hupunguza kiwango cha dawa katika mzunguko wa damu na kudhoofisha kinga dhidi ya virusi vya ukimwi. Habari hii imezua gumzo na maswali katika jamii..k wa maelezo zaidi pitia mitandao ifuatayo:  http://www.whatisprep.org/ AIDS.gov  - PrEP information page  (aids.gov/

ILI KUPAMBANA KIKAMILIFU na GOJWA la UKIMWI ni BUDI TUSIMAME PAMOJA .

 

Please take advantage of this opportunity.

MWANASHERIA - FREE CONSULTATION

AFRICA NI BARA LETU, HIVYO HII INATUHUSU

HEALTH & WELLNESS FAIR SATURDAY, OCT 22nd,2016

Health screenings Includes; live presentations on important health matters, Glucose Monitor,Cholesterol, Blood Pressure,HIV testing, Free Flu Shots, and a Red Cross blood Drive DATE AND TIME Sat, October 22, 2016 10:00 AM – 2:00 PM EDT LOCATION Colesville United Methodist Church Anderson Fellowship Hall 52 Randolph Road Silver Spring, MD 20904

JE UMEPATA KIPIMO CHA COLONOSCOPY?

Colonoscopy ni kipimo chenye uwezo wa kusafiri ndani ya utumbo mkubwa ( rectum na colon)  ili kugunduwa mabadiliko au hali ambazo  huweza kupelekea saratani ya utumbo. Hali hizo ni pamoja  vidonda vya tumbo, uvimbe , polyps, tuma nk.. Kwa kawaida kipimo hiki hutolewa kwa watu wenye umri wa miaka 50 na hutolewa mara moja kila baada ya miaka 10 kutegemeana na majibu na ushahuri wa daktari . polyps Picha; Harriet S. Elimu: Dr. Diego

African Heritage Month Celebration, Montgomery County Maryland USA.

Montgomery County is the first county in the nation to Proclaim September as the African Heritage Month. On  Sept 6th, 2016 the Montgomery County Executive Mr. Ike Leggett , presented the 8th proclamation certificate to the African Affairs Advisory Group and representatives of the African Communities as a tribute to the history ,culture,heritage and ancestry of Africans living in the Diaspora. Following  the  proclamation,  African Immigrant communities, members of the African Diaspora and all people of African Descent continue to celebrate the month of September with pride.   During the 2016, Pan African Festival event in Montgomery County, Maryland USA, the streets of downtown Silver Spring were closed.The Queens and Kings of Africa arrived with pride and marched as the great contributors of  the nation. The event  proceeded  with knowledge sharing and awareness of increasing diseases which burden the health of African Diaspora communities. African Diaspora communities w