Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2015

HUDUMA YA MENO KWA 50% OFF INAFIKA KIKOMO.

Dr.Taalib katika jengo la Avatar Dental Clinic Dr.Taalib Ali Avatar Dental Clinic hutoa huduma hata kwa watoto                                                            Machine ya X-ray na ya  kuua vijidudu                                                                                                Dr. Taalib akiwa Kazini 545 G. East Market Street Leesburg,VA 20176 703-669-8600 Shukrani;Images Avatar Dental Care

FIMBO YA KISASA YA KUTEMBELEA

Fimbo ya kutembelea yaweza tumika na wazee au mtu wa umri wowote mwenye uhitaji  wa kuimarisha msingi kabla ya kupiga hatua ili kupunguza  atari za kuanguka. Vilevile, fimbo husaidia  kupunguza uzito unaotua katika viungo vya mwili kama magoti ,mgongo na hips. Uzito wa mwili huongeza mwelemeo na maumivu hasa kwa watu wenye arthritis, maumivu ya mgongo na maumivu mengine ya viungo. Fimbo hii huweza kukunjika na kukaa ndani ya mkoba Fimbo ya kutembelea hutakiwa kuwa na urefu wa kutosha ili kuepuka kuinama na kuumiza mgongo. Urefu  sahihi ni ule unaofika eneo la kiuno kwa mtu anayeitumia Watu wenye tatizo la usawa (balance ) huitaji mwangaza wa kutosha ili kupunguza atari za kuanguka. Fimbo hii ina taa yenye mwangaza wa kutosha kuona unapokwenda Waweza pata fimbo ya kutembelea katika duka lolote la vifaa vya afya.  Fimbo yenye taa huondoa kadhia za kubebana na tochi. Ni vyema mkono uwe huru kusaidia mtu ambaye tayari ana udhai