Skip to main content

Posts

Showing posts from September, 2015

Childbirth Survival International (CSI) Yatoa Undani wa Changamoto ya Huduma ya Afya kwa Mama Mjaa Mzito na Mtoto

Waanzilishi wa Childbirth Survival International (CSI)  wavunja ukimya kwa mazungumzo tulivu yenye  UZITO  na uchochezi wa  MWAMKO   katika uwanja wa kuboresha huduma ya afya kwa mama mjaa mzito, mtoto na elimu ya kuimarisha vijana wa kike barani Afrika. Mama Stella Mpanda (kushosto) na dada Tausi Suedi (kulia). Waanzilishi wa CSI na Harriet Shangarai mwakilishi wa NesiWangu katika mazungumzo tulivu ya mchana. VIDEO ITAFUATA  PUNDE