Skip to main content

Posts

Showing posts from December, 2015

ZAIDI YA NUSU YA ASILI MIA 50 YA KINAMAMA WAJAA-WAZITO MKOANI TABORA, WAKIMBILIA KWA WAGANGA WA JADI

Source;

NesiWangu Show hosts Child Survival International.

Harriet Shangarai, Stella Mpanda and Tausi Suedi "Pregnancy is not an illness or disease" say Childbirth Survival International (CSI) Co-founders - Stella Mpanda, CNM and Tausi Suedi, MPH. It is estimated at least 800 women die every day due to pregnancy, childbirth, and post-childbirth complications, most of which are preventable. Mama Mpanda and Tausi Suedi have an informative discussion with Harriet Shangarai of Nesiwangu show  and leave no stone unturned as they passionately talked about the challenges, gaps, achievements, opportunities, and shared personal stories. This video will give you an in-depth picture of Childbirth Survival International, the amazing work the team is doing, and how you can partner to make a difference.  For more information, visit www.childbirthsurvivalinternational.com Attachments area Preview YouTube video NesiWangu Show hosts ChildBirth Survival International NesiWangu Show hosts ChildBirth Survival International

UZIMA ULIAZIMWA, TUNZA KWANI NI AZINA

Shinikizo la damu hutambulika kama ' Silent Killer' kutokana na ukosefu wa dalili japo maafa yaendelea taratibu.Wengi wenye tatizo hili huwa nalo hata miaka bila dalili na hivyo kutishia usalama wa maisha . Shinikizo la damu hutuweka katika hatari za stroke, heart attack,upofu wa macho pamoja na kudhofisha utendaji wa figo au kuuwa figo ambayo kazi yake kubwa ni kuchuja uchafu mwilini. CHATI HII YAASHIRIA VIPIMO VYA SHINIKIZO LA DAMU      Ili kugundua tatizo hili ni budi kupima. Ugunduzi na ufumbuzi wa mapema ni wa muhimu na hupunguza madhara yatokanayo na shinikizo la damu. Baadhi ya dalili chache pale tatizo hili linapozidia ni; maumivu ya kichwa,  kizunguzungu, kichefuchefu, uhafifu wa kuona, kupoteza uwezo wa kutambua kuzimia.  Pressure ya damu uhashiria kishindo cha damu katika ukuta wa mishipa ya damu mwilini. Kishindo hiki kinapokuwa kikubwa au juu kwa muda mrefu, kinasababisha mishipa ya damu kuwa hafifu. Uhafif

KIZAZI CHA DIASPORA KUWANIA NAFASI KATIKA CONGRESS

Will Jawando,mkewe Michell Jawando na watoto wao Alia,Addison and Ava Will Jawando ni mzaliwa wa Silver Spring,Maryland kwa familia ya Mwanadiaspora 'Jawando' kutoka Nigeria na Mama ambaye ni mwenyeji wa Marekani.  Will amepitia changamoto mbalimbali zilizo katika jamii na hata kumpoteza rakifi yake wa pekee katika shambulizi la risasi. Jambo hili lilimpelekea kukabidhi maisha yake katika utoaji huduma na utatuzi wa matatizo ya jamii na kuweka jitihada katika elimu . Will Jawando alihitimu elimu ya juu na shahada ya Sheria, ambapo aliendelea na utoaji huduma kwa jamii katika ngazi tofauti hususani; Legislative Staffs House of Democratic chini ya uongozi wa Nancy Pelosi,US- Senator Barack Obama na ngazi nyingine mbalimbali. Kama Mwanadiaspora ninayetambua changamoto za huduma ya afya kwa wasio na vibali vya kuishi nchini ,Will Jawando alinigusa zaidi pale aliponieleza kuhusu baadhi ya changamoto za wahamiaji akisema kuwa, mbali na ukosefu wa hati halali , wahamiaji