Skip to main content

Posts

Showing posts from March, 2016

HABARI KWA ALIYE NA TATIZO LA AJIRA KWA HISTORIA YA KUVUNJA SHERIA HII INAKUHUSU.

KAMA UMEKUWA NA TATIZO LA AJIRA KWA HISTORIA YA KUVUNJA SHERIA HII INAKUHUSU.

HABARI KWA WAKAZI WA KATA YA MONTGOMERY WENYE UHITAJI WA KUMWONA DAKTARI

HABARI HII NJEMA NI  KWA  WASIO NA BIMA YA AFYA, WAKAZI WA KATA YA MONTGOMERY KWA KIPINDI  KISICHOPUNGUWA MIEZI SITA .  HUDUMA HII HAITOLEWI KWA WALIO KATIKA VISA ZA KUTALII  au VISA AMBAZO BADO ZIKO KATIKA MUDA WAKE. Wasiliana nasi  kwa kutuma text Tel;240 672 1788 Image; www.gettyimages.com

PATA PRESCRIPTION MEDICATION KWA BEI NAFUU!

Bofya: goodrx.com   Fua ta hatua zifuatazo; Jina kamili la dawa  Zip code Chagua Milgram na Idadi ya  dawa kifuatia agizo la daktari  Print coupon Wasilisha katika pharmacy ya anwani  husika FUATA HATUA SAHIHI ZA  UTUMIAJI  WA DAWA DAWA SAHIHI;  Dawa huweza kuwa na majina yanayokaribiana hivyo kuwa mwangalifu na kusoma kila mara DOZI SAHIHI; Vifo vingi husababishwa na utumiaji wa dawa kwa kiwango kisicho sahihi. NJIA SAHIHI Ili kuepuka madhara, hakikisha unafuata njia sahihi katika matumizi ya dawa mfano dawa ya kumeza, kupaka au kuchoma sindano itumike ilivyokuwudiwa. ZINGATIA VIPENGELE VIFWATAVYO; Dawa ya kumeza isiyoruhusiwa kutafunwa au kuvunjwa,  Dawa inayotakiwa kutafunwa Dawa inayohitaji kutumiwa na chakula Dawa inayohitaji kutumiwa na kiwango kikubwa cha maji Dawa inayohitaji kutumiwa kwa muda maalum kabla au baada ya chakula  Dawa, vyakula au viywaji vya kuepuka wakati wa matumizi ya dawa husika Kabla ya mat