Skip to main content

Posts

Showing posts from August, 2014

MDAU JITAHIDI UPATE HUDUMA MUHIMU YA KU-REPAIR NA KUSAFISHA MENO BURE !.

                     MLANGO UTAFUNGULIWA ALFAJIRI   SAA 1:00 ASUBUHI  (7:00 AM ) MPAKA SAA 11:00 JIONI  ( 5:00 PM)       IJUMAA NA JUMAMOSI TAREHE 5(TANO) NA 6(SITA) MWEZI WA 9 (TISA)                     HUDUMA  ITATOLWEWA KWANZA KWA AFIKAYE  KWANZA !                                                                COMCAST CENTER,  2001 Paint Branch Drive,  University of Maryland,   College Park, MD 20740   USISAHAU KITAMBULISHO CHAKO,HILI NI SWALA LA KAWAIDA ! Services provided include:    Cleanings   Edodontics/Root Canals   Restorative fillings  Extractions Health screenings  Dental care passport  • Prevention and disease management information  • Community resources (social services)  • Spanish translators and sign language interpreters   Sponsors for Free Adult Dental Health Clinic include: • University of Maryland School of Public Health’s Center for Health Equity • Catholic Charities of the Archdiocese of Washington • Maryland State Dental Asso

JE UMRI WAKO WAKURUHUSU KUJIFUNZA NAMANA YA KUOKOA UHAI ?

CPR NI UJUZI WA KUOKOA UHAI, KILA MWENYE UHAI HANA BUDI KUWA NA UJUZI HUU PATA ELIMU YA CPR BUREE FREE CPR* Training Opportunity [* Cardiopulmonary Resuscitation] Completion of the CPR training allows an individual to receive their CPR Certification that may be required for certain jobs plus prepares individuals to respond to medical emergencies with their families and in their work settings. For more information about the CPR training contact TROY MASSA at Health and Safety International ,  202-695-3663 , or  301-915-7085 , or email at  healthsafetyintl@gmail.com . Shukrani; Montgomerycounty.gov uncyclopedia.wikia.com

MWANADMV TUNZA MENO ULE NYAMA , HUDUMA MUHIMU YA MENO BURE.

COMING SOON Free ADULT Dental Clinic! September 5-6, 2014 Dental Services Include: Cleanings, extractions, fillings, root canals and oral hygiene education Participants MUST be at least 18.  No children are allowed on site. Bring your photo ID and all medications you are taking. Patient Services: September 5-6, 2014.    Doors open at 7:00am.  Location:  UMD Comcast Center. If you have questions, please contact: Maryland Center for Health Equity School of Public Health University of Maryland 3302E SPH Building #255 College Park, MD 20742-2611 Pre-Registration/Referral:  There are a limited number of slots for folks to pre-register.  For those who get a referral form, they must be able to participate in a pre-medical screening on Thursday, September 4 at 2 pm and be at the clinic on Friday, September 5 at 6am to be among the first in line to receive dental services.  Forms can be picked up at 2356 SPH Building, Room 3302 by the indivi

FURSA KWA WATOTO MAENEO YA MARYLAND !,

Thanks ;

EBOLA ni nini?

Jamii Islam  »  Makala  » EBOLA ni nini? Leo ni Jumatatu, tarehe 14 Shawwal Mwaka 1435 HIJIRIA Sawa na 11/8/2014 06 June 04:38 AUTHOR  ADMIN EBOLA ni nini? Category:  Makala  | Date:  6-06-2014, 04:38  | Views: 190 Ebola ni ugonjwa unaosababishwa na homa ya ubongo, na ni moja ya magonjwa yanayotishia uhai wa binadamu.Ugonjwa huu ulijulikana kwa mara ya kwanza, barani Africa mnamo miaka ya 1970 na mpaka sasa ugonjwa huu umeua zaidi ya watu 1,500. Historia inaonesha Ebola imeua watu kwa asilimia 90, madaktari wameripoti kua ugonjwa huu umekua “tishio kwa binadamu”. Dalili  Wengi wao wanaopatwa na virusi hivi vya ebola hupata:  1. Dalili kama za mafua 2. Homa 3. Uchovu wa ndani ya mwili 4. Misuli kuuma 5. Kichwa kuuma 6. Koo kuvimba. Baadae muathirika huanza: 1. Kutapika 2. Kuharisha 3. Kupata upele  4. Ini na figo kutofanya kazi vizuri 5. Kuvuja damu ndani ya mwili 6. Kutokwa na damu kwenye tundu za mwili Mfano; macho,puani nk. mmoja wa muathirika wa ebola akio

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ( CERVICAL CANCER ).

Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cells zilizoko  katika shingo ya kizazi.Mabadiliko haya hupelekea chembe chembe hizo kushamiri na kuzaliana kwa kasi kinyume na mpangilio wa maumbile. Saratani ya Shingo ya kizazi yasemekana kuwa ni saratani inayoongoza kwa kusababisha vifo vya  wanawake katika nchi zinazoendelea. Repoti ya 2012 ya shirika la afya duniani 'WHO' imesema kati ya matukio 75,000 ya waathirika wa saratani ya kizazi barani Afrika, 50,000 walifariki dunia.Namba za matukio haya zinawakilisha waathirika waliopata fursa ya utafiti jabo NINI KINACHOSABISHA SARATANI YA SHINGO YA UZAZI ? Ripoti za utafiti wa kisayansi zimeafiki kuwa asilimia 99%  ya saratani za shingo ya kizazi hutokana na maambukizi ya virusi vya ' Human Papillomavirus' au HPV vilivyoko katika jamii ya papilloma. Baadhi ya virusi hivi vyenye aina zaidi ya mia moja huambukizwa kwa njia ya  kujamiana. BAADHI