Skip to main content

Posts

Showing posts from 2017

Utafiti wa Afya ya Wanawake, Chuo Kikuu cha Johns Hopkins, Baltimore.

             Muda umeongezwa zaidi hivyo usisite kuwasiliana nasi kupitia   240 672 1788 Ni muhimu kushiriki ili kupata utenguzi wa changamoto zetu. Shukrani ndogo ya zawadi, thamani ya dola 70 itatolewa utakapomaliza kujibu maswali. Utafiti huu,hauhitaji usafiri na hivyo isiwe kizuizi kwako Asante Sana

SHINIKIZO LA DAMU

Shinikizo la damu hujullikana kama ' Silent Killer' kwani ni wengi wenye tatizo hili na huishi nalo hata miaka paasipo kulitambua. Shinikizo la damu hutuweka katika hatari za kiharusi (stroke), mshituko na hata kushidwa kwa moyo (heart attack and/or heart failure), upofu wa macho, pamoja na kushindwa kwa figo ambayo kazi yake kubwa ni kuchuja uchafu mwilini.   Ili kugundua tatizo la shinikizo la damu mapema, ni budi kupata kipimo na kujenga tabia ya kujichunguza mara kwa mara . Uchunguzi na ufumbuzi wa mapema husaidia kupunguza madhara yatokanayo na shinikizo la damu. Baadhi ya dalili chache pale tatizo hili linapozidia ni pamoja na; maumivu ya kichwa,  kizunguzungu, kichefuchefu, uhafifu wa kuona, kupoteza uwezo wa kutambua na hata kuzimia.  Shinikizo la damu uhashiria kishindo au kipondo cha mzunguko wa damu katika kuta za mishipa mwilini. Kipondo hicho kinapokuwa kikubwa kwa muda mrefu, hupeelekea kudhoofika kwa mishipa ya

PATA DAWA ZA PRESCRIPTION KWA BEI NAFUU

Bofya: goodrx.com   Fua ta hatua zifuatazo; Jina kamili la dawa  Zip code Chagua Milgram na Idadi ya  dawa kifuatia agizo la daktari  Print coupon Wasilisha katika pharmacy ya anwani  husika FUATA HATUA SAHIHI ZA  UTUMIAJI  WA DAWA DAWA SAHIHI;  Dawa huweza kuwa na majina yanayokaribiana hivyo kuwa mwangalifu na kusoma kila mara DOZI SAHIHI; Vifo vingi husababishwa na utumiaji wa dawa kwa kiwango kisicho sahihi. NJIA SAHIHI Ili kuepuka madhara, hakikisha unafuata njia sahihi katika matumizi ya dawa mfano dawa ya kumeza, kupaka au kuchoma sindano itumike ilivyokusudiwa. ZINGATIA VIPENGELE VIFWATAVYO; Dawa ya kumeza isiyoruhusiwa kutafunwa au kuvunjwa,  Dawa inayotakiwa kutafunwa Dawa inayohitaji kutumiwa na chakula Dawa inayohitaji kutumiwa na kiwango kikubwa cha maji Dawa inayohitaji kutumiwa kwa muda maalum kabla au baada ya chakula  Dawa, vyakula au viywaji vya kuepuka wakati wa matumizi ya dawa husika Kabla ya mat

THE ROLE OF THE DIASPORA IN ENHANCING HEALTHCARE AGENDA AT A GLANCE Saturday November 11, 2017

http://www.dicotaus.org/ events/ http://dicotaus.org/wp- content/uploads/2017/10/ DICOTA-Health-Forum-Agenda-at- a-Glance- http://www.dicotaus.org/ events/ http://dicotaus.org/wp- content/uploads/2017/10/ DICOTA-Health-Forum-Agenda-at- a-Glance-

GLED SUMMIT

https://www.eventbrite.com/e/global-leadership-empowerment-and-diversity-summit-gleads-tickets-35525818680?utm-medium=discovery&utm-campaign=social&utm-content=attendeeshare&aff=escb&utm-source=cp&utm-term=listing

THE ROLE OF TANZANIA 'S DIASPORA IN IMPROVING HEALTHCARE

                                    For more info click http://dicotaus.org/dicota-health-forum/                                                                 For more info click  http://dicotaus.org/dicota-health-forum/                              

USIKOSE HUDUMA YA AFYA BURE KUTOKA KWA WATAALAMU

MENTAL HEALTH WEEK

HAKIKISHA UNAPATA VIPIMO MBALI MBALI VYA AFYA NA KUONGEA NA DAKTARI PAPO HAPO.

Call for Abstracts | U.S. Conference on African Immigrant Health (Deadline 8/15/17

http://www.aeimforward.org/ https://hepfree.nyc/call-abstracts-u-s-conference-african-immigrant-health-deadline-81517/

OUR FUTURE - A Lancet Commission on Adolescent Health and Well being

We are seeking young leaders with experience in one or more of the following areas;  see link for more information..  http://adolescentsourfuture.com/youth-network/

African Diaspora Entrepreneurship Summit

https://www.eventbrite.com/e/african-diaspora-entrepreneurship-summit-tickets-36706833126 Also visit the Panafest page below to be a vendor for year 2017  http://www.panafestusa.net/

NO LONGER A TABOO!. COMMUNITY DIALOGUE ON MENTAL HEALTH

Presented by  Montgomery County African Affairs Advisory Group  &  Immigrant Community Services. Stigma is an Illness, We are the Cure.                                                                                                           ............................................................................................. Special Thanks to Dr. Akua Asare MD, Psychiatrist Rachel Singer, Ph.D.  Center for Anxiety and Behavioral Change  Carol Bangura, M.S.Ed., DrPH(c) Ms. Sombo Pujeh, MPH, Doctoral Candidate Mental Health Research Dr. Odelya Gertel Kraybill Trauma Therapist & Consultant  Expressive Trauma Integration  Josephine Garnem Immigrant Community Services Kennedy Kwasi Odzafi, MA Help Africa Inc. Daniel Koroma Montgomery County Government / Office of Community Partnership Harriet Shangarai  African Affairs Advisory Group Music; Bcubed Music Video by  Swahili Villa Blog

Lets Talk About It

Kwa matukio ya afya katika kata ya Montgomery.

Bofya   community calendar    Events hosted by Department of Health and Human Services programs

A Taste of Africa @ George Washington University

800  21 Street NW Washington DC,  20052 For Tickets Please Visit    http://www.eventbee.com/v/tast eofafricaxvii#/tickets http://www.eventbee.com/v/tasteofafricaxvii#/tickets

COMING SOON!!

AFRICAN AFFAIRS ADVISORY GROUP - MEETING

DATE: March 9th, 2017 TIME: 7:00pm to 8:30pm ADDRESS: 1 Veterans Pl, Silver Spring MD 20910 Do you know your rights? It is never too late……. Come and join the conversation with the Montgomery County African Affairs Advisory Group as we discuss a very important issues in our communities. This week our first Agenda focuses on Immigration.   Please come and learn, meet the experts , know your rights , learn how to access Pro bono legal services and other resources that are readily available for you as a resident of the Montgomery County Maryland. Our next priority is Education. Immigrant Children need a specialized focus and support. We encourage parents to participate and learn how to better communicate deep issues with their children, how to respond to their questions and support their needs. Our children may be  receiving new and/or conflicting information and need a better understanding. The Montgomery County African Affairs Advisory Group (AAAG) serves

FAHAMU NAMNA YA KUONGEZA UPATIKANAJI WA MAZIWA YA MTOTO

Shukrani: Global Media Project

THANK YOU CHILDBIRTH SURVIVAL INTERNATIONAL FOR FEATURING ME.

THESE SERVICES ARE AVAILABLE AT THE EAST COUNTY REGIONAL SERVICES CENTER

Montgomery County Bar Foundation   Pro Bono Program :Free legal services to low-income county residents in civil cases. 1st and 2nd  Thursday  evenings of each month,  5:30 pm-8:00 pm . Call   301-424-7651 MobileMed Clinic :  Primary healthcare services for the un/underinsured adults.  Every  Thursday ,  8:00 am-5:00 pm  and Every  2nd and 4th  Wednesday  of each month,  4:30 pm-8:00 pm . Call   301-493-2400 Mana Food Center : Food distribution to individuals and families - Every  Friday  (Parking Lot), between  2-4 pm . Call  301-424-1130

MONTGOMERY COUNTY AFRICAN AFFAIRS ADVISORY GROUP LAUNCHES MENTAL HEALTH AWARENESS CAMPAIGN.

NO LONGER A TABOO!. Magojwa ya kiakili husumbuwa wengi katika jamii na hufumbiwa macho kutokana na stigma itokanayo na imani potofu na tamaduni zinazopotosha na hivyo kuwa kikwazo cha jamii kutafuta ushauri wa kitaalamu. Jambo hili limepelekea uhafifu wa huduma  na ukosefu wa ushirikiano katika kuleta mwangaza.  Nia na madhumuni ya campaign ya Mental Health Awareness, ni kuleta mwangaza katika jamii kuhusu magojwa ya kiakili, kuelimisha na kupata ufumbuzi wa kitaalamu pamoja na huduma zitazoweza kupatikana hasa kwa jamii ya wahamiaji. Campaign hii inayoongozwa na Montgomery County African Affairs Advisory Group,   ikishirikiana na mashirika mbalimbali, wataalam wa magojwa ya akili na jamii ya wa-Afrika, imekusudia kuvunja ukimya katika magojwa ya kiakili na kumulika vijana ambao hali yao ni tete na bila msaada hujikuta katika mazingira magumu. Wengi huishia kutumia vileo, kuingia kwenye hanasa zenye kuhatarisha maisha yao na hata kutoa maisha yao pale wanapokosa fafanuzi a