Skip to main content

Posts

Showing posts from July, 2015

FREE CPR TRAINING

Thanks

JE UVUTAJI WA SIGARA NI SAWA NA UNYWAJI SUMU WA TARATIBU ?

                            TOFAUTI  KATI YA MAPAFU YA  MVUTA SIGARA NA ASIE  MVUTA SIGARA                   HUDHOOFISHA UTENDAJI WA  MFUMO WA KUPUA  Uvutaji wa sigara na mazingira yaliyokuwa na moshi wa sigara ( second hand smoke) hujulikana kwa  maafa yake ya husababisha magonjwa sugu ya mapafu yajulikanayo kama  ‘Chronic Obstructive Pulmonary Diseases” (COPD) yakiwemo pumu, kifua kikuu na …?(emphysema). Magonjwa haya uhashiriwa na upungufu wa umahiri wa ubadilishaji wa hewa katika mapafu; ugumu wa kutoa  hewa chafu ya carbon  na kuchukua hewa oxygen . Hali hii uashiriwa  na ukosefu wa pumzi na hasa wakati wa shughuli mfano; kutembea,kupanda ngazi nk. Mbali na magojwa sugu ya mapafu,uvutaji wa sigara wajulikana kwa kusababisha saratani ya mapafu na  saratani za aina mbali mbali mwilini :- Saratani ya mapafu Saratani ya njia ya chakula au umio  Utumbo  Njia ya kutolea uchafu mwilini, Ini,figo na njia ya mkojo  Kigosho na  koromeo. Uvutaji wa si