Skip to main content

Posts

TUELEWESHANE

Recent posts

Mama Kijacho Vol I - Video Promo

www.NesiWangu.com

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI

Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cells zilizoko  katika shingo ya kizazi.Mabadiliko haya hupelekea chembe chembe hizo kushamiri na kuzaliana kwa kasi kinyume na mpangilio wa maumbile. Saratani ya Shingo ya kizazi yasemekana kuwa ni saratani inayoongoza kwa kusababisha vifo vya  wanawake katika nchi zinazoendelea. Repoti ya 2012 ya shirika la afya duniani 'WHO' imesema kati ya matukio 75,000 ya waathirika wa saratani ya kizazi barani Afrika, 50,000 walifariki dunia.Namba za matukio haya zinawakilisha waathirika waliopata fursa ya utafiti jabo NINI KINACHOSABISHA SARATANI YA SHINGO YA UZAZI ? Ripoti za utafiti wa kisayansi zimeafiki kuwa asilimia 99%  ya saratani za shingo ya kizazi hutokana na maambukizi ya virusi vya ' Human Papillomavirus' au HPV vilivyoko katika jamii ya papilloma. Baadhi ya virusi hivi vyenye aina zaidi ya mia moja huambukizwa kwa njia ya  kujamiana. BAADHI YA MAMBO

Utafiti wa Afya ya Wanawake, Chuo Kikuu cha Johns Hopkins, Baltimore.

             Muda umeongezwa zaidi hivyo usisite kuwasiliana nasi kupitia   240 672 1788 Ni muhimu kushiriki ili kupata utenguzi wa changamoto zetu. Shukrani ndogo ya zawadi, thamani ya dola 70 itatolewa utakapomaliza kujibu maswali. Utafiti huu,hauhitaji usafiri na hivyo isiwe kizuizi kwako Asante Sana

SHINIKIZO LA DAMU

Shinikizo la damu hujullikana kama ' Silent Killer' kwani ni wengi wenye tatizo hili na huishi nalo hata miaka paasipo kulitambua. Shinikizo la damu hutuweka katika hatari za kiharusi (stroke), mshituko na hata kushidwa kwa moyo (heart attack and/or heart failure), upofu wa macho, pamoja na kushindwa kwa figo ambayo kazi yake kubwa ni kuchuja uchafu mwilini.   Ili kugundua tatizo la shinikizo la damu mapema, ni budi kupata kipimo na kujenga tabia ya kujichunguza mara kwa mara . Uchunguzi na ufumbuzi wa mapema husaidia kupunguza madhara yatokanayo na shinikizo la damu. Baadhi ya dalili chache pale tatizo hili linapozidia ni pamoja na; maumivu ya kichwa,  kizunguzungu, kichefuchefu, uhafifu wa kuona, kupoteza uwezo wa kutambua na hata kuzimia.  Shinikizo la damu uhashiria kishindo au kipondo cha mzunguko wa damu katika kuta za mishipa mwilini. Kipondo hicho kinapokuwa kikubwa kwa muda mrefu, hupeelekea kudhoofika kwa mishipa ya

PATA DAWA ZA PRESCRIPTION KWA BEI NAFUU

Bofya: goodrx.com   Fua ta hatua zifuatazo; Jina kamili la dawa  Zip code Chagua Milgram na Idadi ya  dawa kifuatia agizo la daktari  Print coupon Wasilisha katika pharmacy ya anwani  husika FUATA HATUA SAHIHI ZA  UTUMIAJI  WA DAWA DAWA SAHIHI;  Dawa huweza kuwa na majina yanayokaribiana hivyo kuwa mwangalifu na kusoma kila mara DOZI SAHIHI; Vifo vingi husababishwa na utumiaji wa dawa kwa kiwango kisicho sahihi. NJIA SAHIHI Ili kuepuka madhara, hakikisha unafuata njia sahihi katika matumizi ya dawa mfano dawa ya kumeza, kupaka au kuchoma sindano itumike ilivyokusudiwa. ZINGATIA VIPENGELE VIFWATAVYO; Dawa ya kumeza isiyoruhusiwa kutafunwa au kuvunjwa,  Dawa inayotakiwa kutafunwa Dawa inayohitaji kutumiwa na chakula Dawa inayohitaji kutumiwa na kiwango kikubwa cha maji Dawa inayohitaji kutumiwa kwa muda maalum kabla au baada ya chakula  Dawa, vyakula au viywaji vya kuepuka wakati wa matumizi ya dawa husika Kabla ya mat

THE ROLE OF THE DIASPORA IN ENHANCING HEALTHCARE AGENDA AT A GLANCE Saturday November 11, 2017

http://www.dicotaus.org/ events/ http://dicotaus.org/wp- content/uploads/2017/10/ DICOTA-Health-Forum-Agenda-at- a-Glance- http://www.dicotaus.org/ events/ http://dicotaus.org/wp- content/uploads/2017/10/ DICOTA-Health-Forum-Agenda-at- a-Glance-

GLED SUMMIT

https://www.eventbrite.com/e/global-leadership-empowerment-and-diversity-summit-gleads-tickets-35525818680?utm-medium=discovery&utm-campaign=social&utm-content=attendeeshare&aff=escb&utm-source=cp&utm-term=listing