Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2015

SHUKRANI ZA DHATI !

WANADIASPORA  WAKIWA MSTARI WA MBELE KUANGALIA AFYA  ZA JAMII WATOTO WA SHULE YA MSINGI WAKIJITOLEA ILI KUFANIKISHA  MASAA  75 YA HUDUMA KWA JAMII KAMA DESTURI  KABLA YA  KUFUZU ELIMU YA SEKONDAR I NCHINI MAREKANI ( mfumo wa kuigwa) SURVIVOR WA SHAMBULIZI LA MOYO AKIZUNGUMZA  NA JAMII DADA ASHA HARRIZ AKITEMBELEA HUDUMA MBALI MBALI   WASHIRIKI WA WALIPATA ZAWADI MBALI MBALI

KUZUKA KWA SURUA ( MEASLES) NCHINI MAREKANI

Habari za afya zinazozidi kuenea nchini Marekani ni kuzuka kwa  ugojwa wa surua toka mwezi Dec. 2014 jijini California. Habari kamili toka shirika la kudhibiti magojwa yenye  maambukiza nchini Marekani "CDC"  inaeleza kuwa,  tukio la kwanza la  ugojwa huo linasadikika kuanzia Disneyland Resort Park, iliyopo Orange County jijini California.  Mbali na tukio hilo, idadi kamili ya waathirika kuanzia January Mosi hadi January 30,2015 yapata 102 katika majimbo 14 yaliyosambaa ugojwa huo. RAMANI HII INAASHIRIA MAJIMBO YALIYO NA MATUKIO YA SURUA 2015 KWA UFAHAMU ZAIDI KUHUSU UGOJWA WA SURUA BOFYA ; Mafiamatembezi: SURUA NI NINI? :     Surua ni mojawapo ya magonjwa ya kuambukiza ambao una kiwango cha juu cha maambukizi pindi mtu apatapo vimelea vya ugonjwa huu. Pamoj... Shukrani http://mafia-matembezi.blogspot.com/ http://emergency.cdc.gov/han/han00376.asp