Skip to main content

Posts

Showing posts from August, 2016

AFRICAN AFFAIRS ADVISORY GROUP (AAAG) YAKULETEA ADHIMISHO LA MWEZI WA TAMADUNI ZA KI-AFRICA

NI NINI HASA FAIDA YA MAZIWA YA MAMA?

M aziwa ya mama husifika kwa  virutubisho vya hali ya juu na vyenye uwezo wa kukidhi mahitaji ya mtoto mchanga. Baadhi ya virutubisho hivyo ni pamoja na protini,wanga,mafuta na madini ambayo ni muhimu katika ukuwaji wa mtoto mchanga na uimarishaji wa mfumo wa ufahamu ( Felden & Eidenkman, 2003 ). Vile vile, maziwa ya mama humpatia mototo kinga asilia yenye kumwezesha kupambana na baadhi ya magojwa na maambukizi yakiwemo; Maambukizi ya sikio na mafua ya mara kwa mara Magojwa ya mfumo wa chakula yanayopelekea kuharisha, pamoja na magojwa sugu kama crohn’s, celiac na necrotizing  enterocolitis ( Bhandari et al., 2003,..Morrow er al., 2004 ) Magojwa ya atopic kama eczema na asthma ambayo asilimia kubwa husababishwa na matatizo ya mzio (allergies) Hupunguza hatari za unene wa utotoni Hupunguza hatari za kifo cha ghafla kwa watoto wachanga SIDS (Sudden Infant Death Syndrome) Baadhi ya faida kwa mama anayenyonyesha ni pamoja na k ujenga mahusiano ya karibu ya awali k

Internship Opportunities for Public Health Students or Graduates.

Areas of focus include Emergency Preparedness, Research,Policy, Advocacy, Psychosocial and many more for those in the DMV area. First come First Served Email NesiWangublog@gmail.com Text 240 672 1788 Image Credit: www.mailman.columbia.edu