Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2017

Free Trainings

Kwa maelezo zaidi piga simu 443-808-1034 Kathleen Powell

Tausi Suedi, CSI Cofounder advocates for REACH Act.

NO LONGER A TABOO!.

                        MONTGOMERY COUNTY AFRICAN AFFAIRS ADVISORY GROUP                                          MENTAL HEALTH AWARENESS CAMPAIGN Mental Health Awareness is one of the top priorities on the agenda for the Montgomery County African Affairs Advisory Group (AAAG). Although Mental Health is a National focus, the African diaspora communities still experiences lack of awareness due to stigma, cultural barriers and beliefs. Moreover, Diaspora communities experience an overall lack of exposure and limited access to information on mental health as well as county resources that are readily available to them. Our goal is to align with the Healthy People 2020 goal of improving mental health through prevention and increased access to appropriate quality mental health services. 1 Veterans Pl, Silver Spring MD 20910 Date: February 9th, 2017 Time: 6:30 pm to 8:30 pm According to Healthy People 2020, Mental health is a

ATT. PHILADEPHIA, FREE IMMIGRATION SCREENING and LEGAL CLINIC

PATA ELIMU, KIPIMO na KIFAA cha KUPIMA SUKARI BURE!.

Shirika la African American Health Program lakuletea; huduma, mafunzo na vifaa vya kukabiliana na ugojwa wa kisukari   February 1 st 2107,  February 8 th , 2017,  February 15 th , 2017      Saa 12 kamili jioni hadi saa 2 usiku White Oak Recreational Center 1700 April Lane Silver Spring, MD 20904

UCHUNGUZI wa AFYA

January 22 nd , 2017 8:00 am – 2:00 pm 12101 Tech Rd. Silver Spring, MD 20904 Kwa habari zaidi wasiliana na  Sr. Ava Stevens # (301) 996-9532. Image credit;   The Healthy Voyage r

Att. African Researchers!

GLOBAL HEALTH CATALYST SUMMIT- 2017

For more information visit http://www.globalhealthcatalystevents.org/

Mtambuwe mwakilishi wa wilaya yako Mhe. Jheanelle Wilkins!.

District 20 ni Wilaya inayojumuisha Silver Spring, White Oak na Takoma Park. Wilaya hii hujulikana kwa idadi kubwa ya wahamiaji hasa wale wa jamii ya ki-Afrika. Mchakato wa uchaguzi uliendelea kwa siku tatu mfululizo, ambapo wagombea walipata fursa ya kujieleza,kujibu maswali kutoka kwa jamii na kamati maalumu ambayo ndio yenye usemi wa mwisho na mamlaka katika mchakato huo. Kamati hiyo hujulikana kama Montgomery County Democratic Central Committee (MCCDC) yenye wajumbe 28 akiwemo Mhe. Jheanelle Wilkins ambaye ndio  mshindi wa mchakato huo. Mhe. Jheanelle Wilkins ni mzaliwa wa Jamaica na muhamiaji aliye na malengo ya kupambana na sheria kali zinazopanga kutenganisha familia za wahamiaji katika utawala mpya ulioko chini ya rais mteuliwa ajulikanaye kama  Donald Trump. Baadhi ya waliogombea nafasi hiyo kutoka barani Africa ni pamoja na Daniel Koroma ambaye ni mzaliwa wa Sierra Leone na mtumishi wa umma katika kata ya Montgomery. Daniel Koroma ambaye alitolewa katika round ya pi

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI (CERVICAL CANCER)

Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cells zilizoko  katika shingo ya kizazi.Mabadiliko haya hupelekea chembe chembe hizo kushamiri na kuzaliana kwa kasi kinyume na mpangilio wa maumbile. Saratani ya Shingo ya kizazi yasemekana kuwa ni saratani inayoongoza kwa kusababisha vifo vya  wanawake katika nchi zinazoendelea. Repoti ya 2012 ya shirika la afya duniani 'WHO' imesema kati ya matukio 75,000 ya waathirika wa saratani ya kizazi barani Afrika, 50,000 walifariki dunia.Namba za matukio haya zinawakilisha waathirika waliopata fursa ya utafiti jabo NINI KINACHOSABISHA SARATANI YA SHINGO YA UZAZI ? Ripoti za utafiti wa kisayansi zimeafiki kuwa asilimia 99%  ya saratani za shingo ya kizazi hutokana na maambukizi ya virusi vya ' Human Papillomavirus' au HPV vilivyoko katika jamii ya papilloma. Baadhi ya virusi hivi vyenye aina zaidi ya mia moja huambukizwa kwa njia ya  kujamiana. BAADHI