Childbirth Survival International (CSI) Yatoa Undani wa Changamoto ya Huduma ya Afya kwa Mama Mjaa Mzito na Mtoto
Waanzilishi wa Childbirth Survival International (CSI) wavunja ukimya kwa mazungumzo tulivu yenye UZITO na uchochezi wa MWAMKO katika uwanja wa kuboresha huduma ya afya kwa mama mjaa mzito, mtoto na elimu ya kuimarisha vijana wa kike barani Afrika.
Waanzilishi wa CSI na Harriet Shangarai mwakilishi wa NesiWangu katika mazungumzo tulivu ya mchana.
VIDEO ITAFUATA PUNDE
Comments
Post a Comment