Habari zilizoenezwa na tovuti ya ‘Jaguda’ nchini Nigeria zasema, mwigizaji Nadia Buhari asitisha mkataba wa dola 75,000$ wa kuingiza vipodozi vya kampuni ya Ufaransa ‘Avant Claire Grande' katika bara la Africa. Kampuni hiyo iliyoukubali urembo wa binti huyu na kutaka awe nembo ya kuwakilisha vipodozi vyao yasemekana kutumia mchanganyiko wa kemikali ya' Hydroquinone' inayotumika katika kublichi au kuchubua ngozi na yenye kuleta madhara ya afya.
Akisitisha mkataba huo jijini Paris, Nadia Buhari alisema kwamba hakuna idadi ya pesa itakayomfanya akiuke maadili mema.
BAADHI YA VIPODOZI VYA KAMPUNI YA AVANT CLAIRE
shukrani,
Images
http://www.jaguda.com/
Comments
Post a Comment