Skip to main content

ATHARI ZA UKOSEFU WA USINGIZI !.



UKOSEFU WA USINGIZI MWORORO WAWEZA KUKULETEA MADHARA YAFUATAYO;
  1. Msongo wa mawazo (Depression)
  2. Ongezeko la mwili
  3. Upungufu wa msukumo wa tendo la ndoa
  4. Hasira
  5. Usahaulifu
  6. Ugumu wa ufanisi wa kazi ( poor concentration at work or school)
  7. Kuzeeka kwa ngozi kabla ya mda wake
  8. Ongezeko la ajali
  9. Kukuweka hatarini zaidi kupata magojwa ya moyo, shinikizo la damu,kisukari,stroke na hata kifo cha ghafla

NAMNA YA KUONGEZA  USINGIZI MWORORO


  • Weka ratiba maalum ya kwenda kulala na kuamka kila siku
  • Pata mazoezi ya mwili walau dakika 30 mara 4 hadi 5 kwa wiki
  • Epuka mlo mkubwa kabla ya kwenda kulala.
  • Epuka caffaine na Pombe  mda unaokaribia saa za kulala
  • Epuka sigara au nicotine.
  • Hakikisha chumba kina mazingira ya ukimya na yasiyo na mwanga
Shukrani,
atlantablackstar.com ,http://sleepfoundation.org/
Institute of Medicine. Sleep Disorders and Sleep Deprivation.

Comments