HAKIKISHA UMEJIPATIA BIMA YA AFYA YA BEI NAFUU KABLA YA TAREHE 31/03 /2014
Ratiba ya mwezi wa tatu ni pamoja na kila Jumamosi, tarehe 8,15,22,29 kuanzia saa nne asubuhi hadi saa kumi jionikatika anuani zifuatazo:-
Montgomery County Department of Health and Human Services;
- 8818 Georgia Avenue, Silver Spring
- 12900 Middlebrook Road, Germantown
- 5600 Regency Lane, District Heights, MD
- 4235 28th Avenue, Temple Hills
au piga simu 240-773-8250.
(Msaada wa lugha tofauti utapatikana)
Shukrani kwa niaba ya :-
Montgomery County, MD
Capitalhealthconnection.org
Comments
Post a Comment