Raisi wa Watanzania DMV Bw. Iddy Sandaly
|
Akizungumza na blog ya NesiWangu, Raisi Iddy Sandaly alitueleza kwamba amefikia uwamuzi na mkakati wa kuanza zoezi kutokana na ushauri wa daktari katika siku ya maangalizi ya afya DMV. Nia kubwa ya mazoezi haya ni kupunguza mwili na hatari za magojwa sugu yanayonyemelea mwili kama Kisukari,Shinikizo la damu, Kukabwa na jinamizi usingizini au (sleep apnea) na mengine mengi.
Ili kuitunza afya vyema, ni vizuri kupata vipimo,uchunguzi wa afya na ushauri wa daktari walau mara moja kila mwaka.Hii itatusaidia kujua ni jambo lipi tushughulikie mapema kwani kinga ni bora kuliko tiba.
Shukrani;
NesiWanguBlog;
Comments
Post a Comment