Tukisheherekea siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, katika Ubalozi wa Tanzania,Washington DC, timu yetu kutoka NesiWangu Blog Ilishiriki katika kutoa Elimu Afya kwa wageni na wenyeji walisioshiriki. Zoezi hili limetupatia uelewa wa ndani hasa kwani kuna magojwa mengi yakiwemo "Sleep Apnea" a.k.a Kukabwa na Jinamizi, yanayosumbuwa wengi katika jamii na wengi wetu hatuyatambui japo madhara yake ni makubwa katika miili na afya zetu,
Mbali na magojwa,tuligusia vyakula vyetu vya asili na viburudisho ambavyo bila kipimo na usahihi wa mapishi au maandalizi yake vyaweza kuwa chanzo cha magojwa sugu yanayosumbuwa jamii zetu.
Maandishi haya yamewekwa katika lugha ya kingereza bila tafsiri kwani ndio Lugha iliyoyumika kutoa mafunzo siku ya Muungano kutokana na mchanganyiko mkubwa wa watu waliyotumia lugha hiyo.
shukrani;
picha
SwahilivillaBlog
Comments
Post a Comment