NesiWangu ni mtandao ulianzishwa kwa nia ya kuipatia jamii "Elimu Afya" kwa lugha ya kiswahili na yenye kueleweka.Ni imani kwamba, jamii yenye upeo wa elimu afya hushamiri kwa miaka mingi duniani; kwani ina ujuzi na maharifa ya kujikinga na kujitibu magojwa, kukwepa kasumba zinazohatarisha usalama huku ikipambana na imani zinazoweka jamii katika afya duni. Zaidi, elimu afya itatupelekea nguvu ya kufanya maamuzi ya kiafya, kushirikiana na wataalam kujilelea, na vilevile kumpelekea muhudumu wetu changamoto ya kutoa huduma stahiki.
Karibuni sana tuleleane,tushauriane na tuhimarishe jamii yetu.
Asanteni sana.
Comments
Post a Comment