Tarehe 7/11/2015, Shirika la Afya Duniani “WHO” lilitangaza ushindi katika uthibiti wa maambukizi ya Ebola nchini Sierra Leone. Tamko hilo lilifuata baada ya siku 42 kupita, pasipo na tokeo la maambukizi ya ugojwa wa Ebola nchini Sierra Leone.
Mgojwa wa mwisho kunusurika na Ugojwa huo ni 'Mama Adama Sankof'(katikati) ambaye alipata maambukizi hayo wakati akimlea mwanae wa umri wa miaka 23 aliepoteza uhai.
WANANCHI WAKISHEHEREKEA MAFANIKIO KATIKA KUTHIBITI MAAMBUKIZI YA EBOLA SIERRA LEONE
HATUA MUHIMU ZIKIENDELEA KATIKA UTHIBITI WA MAAMBUKIZI YA EBOLA. WANANCHI WAKIOSHA MIKONO KWA SABANU NA BLEACH
Shukrani za dhati kwa wauguzi ,wanavijiji,viongozi,mashirika mbali mbali, wanadiaspora,nchi za mbali na za jirani,vyombo vya habari na wale wote waliopoteza wapendwa wao kwa ajili ya kuokoa maisha.
Comments
Post a Comment