Skip to main content

NesiWangu Show -Albinism





NesiWangu-Show Inawaletea sehemu ya kwanza ya mazungumzo na mwanaharakati Bi "Daisy Makwaiya" mwenye shirika la Albino Charity.org ikifwatiwa na Sehemu ya pili ya  --
Mazungumzo na Mwanaharakati "Babu Sikare" mTanzania mwenye Albinism na mwanzilishi wa  shirika la Afrobino.org   wote wako mstari wa mbele  ktk utoaji wa  huduma msingi kwa jamii ya watu wanaoishi na ulemavu wa ngozi nchini Tanzania.

Shukrani za dhati;
Kwanza Production (KP)

Comments