Shirika la utawala wa vyakula na madawa nchini Marekani lijulikanalo kama FDA, lilihakiki dawa ijulikanayo kama Prep ( Pre - Exposure Prophylaxis) yenye uwezo wa kupunguza hatari za maambukizi ya ugojwa wa Ukimwi. Shirika hilo limeitambua dawa hii na kuruhusu matumizi yake ili kupunguza maambukizi ya ugojwa wa ukimwi kwa watu walio katika mazingira ya hatari na maambukizi mfano; mahusiano ya watu wawili ikiwa mmoja yupo Positive na mwenzie yupo Negative, watu wenye kutumia au kujidunga dawa za kulevya, na wale walio katika mahusiano ya jinsia moja.
Dawa hii yenye muonekano wa kidonge
hushauriwa kutumika mara moja kwa siku bila kukosa dozi kwani kusahau dozi hupunguza kiwango cha dawa katika mzunguko wa damu na kudhoofisha kinga dhidi ya virusi vya ukimwi.
Habari hii imezua gumzo na maswali katika jamii..kwa maelezo zaidi pitia mitandao ifuatayo:
http://www.whatisprep.org/
https://www.cdc.gov/hiv/research/biomedicalresearch/prep/index.html
https://www.cdc.gov/wcms/videos/low-res/NCHHSTP_DHAP/2016/prep---an-hiv-prevention-option_1097146.mp4
https://www.cdc.gov/hiv/basics/prep.html
FDA approves first drug for reducing the risk of sexually acquired HIV infection
https://aidsinfo.nih.gov/news/1254/fda-approves-first-drug-for-reducing-the-risk-of-sexually-acquired-hiv-infection
http://betablog.org/perspectives-on-prep-in-african-american-communities/
https://www.aids.gov/hiv-aids-basics/prevention/reduce-your-risk/pre-exposure-prophylaxis/

AIDS.gov - PrEP information page (aids.gov/hiv-aids-basics/prevention/reduce-your-risk/pre-exposure-prophylaxis)
AIDSinfoNet - Reliable, Up-To-Date Treatment Information (aidsinfonet.org/fact_sheets/view/160)
AVAC - Global Advocacy for HIV Prevention (avac.org/ht/d/sp/i/262/pid/262)
Avert - AVERTing HIV and AIDS (avert.org/pre-exposure-prophylaxis.htm)
https://www.cdc.gov/hiv/research/biomedicalresearch/prep/index.html
https://www.cdc.gov/wcms/videos/low-res/NCHHSTP_DHAP/2016/prep---an-hiv-prevention-option_1097146.mp4
https://www.cdc.gov/hiv/basics/prep.html
FDA approves first drug for reducing the risk of sexually acquired HIV infection
https://aidsinfo.nih.gov/news/1254/fda-approves-first-drug-for-reducing-the-risk-of-sexually-acquired-hiv-infection
http://betablog.org/perspectives-on-prep-in-african-american-communities/
https://www.aids.gov/hiv-aids-basics/prevention/reduce-your-risk/pre-exposure-prophylaxis/
Comments
Post a Comment