Colonoscopy ni kipimo chenye uwezo wa kusafiri ndani ya utumbo mkubwa ( rectum na colon) ili kugunduwa mabadiliko au hali ambazo huweza kupelekea saratani ya utumbo. Hali hizo ni pamoja vidonda vya tumbo, uvimbe , polyps, tuma nk.. Kwa kawaida kipimo hiki hutolewa kwa watu wenye umri wa miaka 50 na hutolewa mara moja kila baada ya miaka 10 kutegemeana na majibu na ushahuri wa daktari .
polyps |
Elimu: Dr. Diego
Comments
Post a Comment