Skip to main content

VITUO VYA AFYA KWA WAKAZI WA KATA YA MONTGOMERY

 
Mobile Med ni huduma ya afya iliyo chini ya Montgomery Cares,  yenye kutoa huduma ya afya kwa wakazi wasio na bima ya afya . Huduma hii haitolewi kwa wale walio na visa za matembezi ya muda mfupi ( Hii ni kuepuka ugeni unaokuja nchini kwa nia ya kutumia mfumo bila kuchangia). Kuna imani kwamba, wale walio na visa zilizopitiliza muda wake, kwa namna moja au nyingine wanafanya kazi japo kinyume cha sheria na mapato yao huchangia mfumo kwa ujumla.  Huduma hii hutolewa kwa zamu na madaktari mbalimbali kutoka mahospitali makubwa kwa bei ndogo na yenye kuendana na kipato.  Mabingwa hawa ni wa magojwa mbalimbali na pia hutoa rufaa pale inapobidi kwa hospitali za  Shady Grove Adventist, Washington Adventist na  Suburban.

Baadhi ya simu za vituo hivi ni

(301) 493-2400, (301) 493-2400

Pitia www.mobilemedicalcare.org

 VITUO VYA MOBILE MED

Aspen Hill Clinic (Van)

St. Mary Magdalene Church

3820 Aspen Hill Rd

Aspen Hill, MD 20906



Wednesday and Friday 8:30am-5pm


Ride-on bus #34 or #41 to Connecticut and Aspen Hill Rd. Or Metro bus #Y7, Y8 or Y9 to Georgia Ave. and Aspen Hill Rd. Across from Kohl’s store between Georgia and Connecticut Avenues.


English, Spanish, Amharic


La Clinique

East Montgomery Service Center

3300 Briggs Chaney Rd

Fairland, MD 20877



2nd and 4th Wednesday of each month from 5pm-9pm
Thursday 8:30am-5pm
*Walk-in Thursday 8:30am-1pm – arrive before 8am




English, French, Amharic


Gaithersburg Clinic (Van)

Ascension House

202 South Summit Ave

Gaithersburg, MD 20877



Tuesday 8:30am-3pm
*Walk-in Tuesday 8:30-11am – arrive before 8am




English, Spanish


Upcounty Clinic

19735 Germantown Rd, Suite 300

Germantown, MD 20874



Monday-Thursday 8:30am-5pm
Friday 8:30am-5pm




English, Spanish, Korean (Fri)


Ibn Sina Clinic

Islamic Education Center

7917 Montrose Rd

Potomac, MD 20854



Monday 6-9pm




English, Farsi


Long Branch Clinic (Van)

Long Branch Community Center

8700 Piney Branch Rd

Takoma Park, MD 20903



Tuesday 8:30am-5pm
Friday 8:30am-5pm
*Walk-in Friday 8:30am-5pm – arrive before 8am


Kwa maelezo zaidi tembelea
mobilemedicalcare.org/
Shukrani Image
.www.uhc.com

Comments

Popular posts from this blog

HUDUMA YA HARAKA KWA UPUNGUFU WA SUKARI MWILINI (HYPOGLYCEMIA)

0 Ubongo wa binadamu unahitaji sukari kwa mda wote ili kuwa na nguvu ya kufanya kazi . Sukari hii yategemewa kutoka kwenye mzunguko wa damu kwani ubongo hauna uwezo wa kuzalisha au kuhifadhi sukari ya kutosha  matumizi ya  baadaye. Kutokana na hitilafu ya kingosho(dysfunctional pancreas) wagowja wa kisukari huwa na hali ngumu ya kuweka sukari katika vipimo vinavyohitajikana hivyo mara nyingi  sukari huwa juu (Hyperglycemia) au chini  (Hypoglycemia) na huhitaji tiba. Hivyo basi ni muhimu sana kwa ndugu au rafiki wa karibu kujua machache ili kuwa msaada pale mpendwa wako anapojikuta katika hali ya kuishiwa sukari kwani  inahitaji huduma ya haraka kuokoa maisha. DALILI ZA UPUNGIFU WA SUKARI MWILINI (Hypoglycemia) Kipimo cha sukari  chini ya    70 mg/dL au 3.9 mmol/L   chaweza hatarisha maisha ya mpendwa wako  mwenye kisukari. ; Njaa kuumwa kwa kichwa Kutokwa kwa jasho kutikisika kwa mwili Hasira Mwili au ngozi baridi na nyevu K

UPUNGUFU WA POTASSIUM MWILINI, WAWEZA KUWA TISHIO KWA USALAMA WA MOYO !.

NDIZI HUSIFIKA KWA UTAJIRI WAKE WA MADINI YA POTASSIUM Potassium ni moja  kati  ya madini muhimu ya chumvi chumvi mwilini.Ikisaidiana na chumvu chumvi nyingine kama Calcium, Magnesium na Sodium. Potassium ni muhimu sana kwenye usimamiaji wa kiwango sahihi cha maji mwilini, utendaji wa cell na kikubwa zaidi  uanzishaji wa mwendo ( conduction of  electricity) katika  misuli ya mwili yenye mwendo hiari na mwendo usio wa hiari. Hivyo, hupelekea mwamko katika mishipa ya moyo inayohusika na huwa ndio chanzo cha mapigo yanahusika na msukumo wa  damu mwilini. ( generates heart bit) Mahitaji ya Potassium kwa mtu mzima ni kati ya milligram zisizopungua 3,500 ml. kwa siku kutoka kwenye lishe. Ili mwili wa binadamu uweze kuendelea na utendaji wake, potassium iliyoko katika mzunguko wa damu yahitaji kuwa kati ya 3.5-5.0mEg/L. Kiwango hiki kikipopunguwa hutupelekea hali ijulikanayo kama; Hypokalemia au Upungufu wa Potassium katika damu. Vile vile kiwango hiki kinapozidia huitwa H

MATATIZO YA THYROID KWA WANAWAKE .

Thyroid ni mojawapo ya tezi zilizo mwilini zinazozalisha  homoni  (hormones) zake ndani ya mwili  na kutumika  kwenye mfumo wa  damu. Miongoni mwa kazi za homoni ya thyroid ni    kusimamia  utendaji wa shughuli  mwilini kama mwendo wa mapigo ya moyo,( heart rate),  usagaji wa chakula (digestion) ,mwendo na utendaji wa metaboli (metabolism)  na kusimamia matumizi ya calorie mwilini. Ili tezi ya thyroid iweze kufanya kazi yake ya uzalishaji homoni  huitaji madini ya Iodine.Madini  hayo hupatikana katika vyakula vya mimea vilivyotoka  kwenye udongo wenye virutubisho vya iodine ya kutosha, chumvi yenye iodine na vyakula vya baharini. Tezi ya thyroid inapozalisha homoni pungufu na kipimo kinachohitajika  husababisha  hali ijulikanayo kama   “Hypothyrodism”. Tezi hii  ikizalisha  homoni kupita kipimo kinachohitajika mwilini huitwa “Hyperthyrodism” LEO NINAPENDA KUZUNGUMZA NANYI KUHUSU UGONJWA WA HYPOTHYRODISM Hypothyrodism ni ugojwa ambao huwapata  wanawake zaidi kuliko