Mwigizaji maarufu wa Television Series, Grays Anatomy 'Isaiah Washington' alishiriki katika misa ya kutoa shukrani na kusheherekea rasmi tamko lililotolewa na Shirika la Afya Duniani WHO, tarehe 7/11/2015 'Sierra Leone, Ebola- Free' .Misa hiyo iliyofanyikia katika Kanisa la City of Light, Randolph Rd. Silver Spring, MD na ilijumuisha Balozi wa Sierra Leone nchini Marekani, H.E Bockari Stevens, Wajane walipoteza waume zao miongoni wakiwa madaktari walioenda katika mapambano ya Ebola. Mayatima,Ndugu na Marafiki. Waumini wengi walishiriki wakiwemo Wanadiaspora waliojitoa katika usafirishaji wa vyombo vya hospitali,ambulances,vyakula,fedha, pamoja na timu kuu ya wanadiaspora iliyohusika na mapambano dhidi ya Ebola Isaiah Washington ni mzaliwa wa Marekani,aliyegundulika kuwa na mizizi ( DNA) kutoka Siera Leonne. Historia hiyo, ilimplekea mapenzi makubwa na nchi hiyo hadi kuchukuwa Passport rasmi na kushiri...
Community Health Innitiaves