MAPAFU YA ASIYEVUTA SIGARA NA MVUTA SIGARA Uvutaji wa sigara na mazingira yaliyokuwa na moshi wa sigara ( second hand smoke) hujulikana kwa maafa yake ya husababisha magonjwa sugu ya mapafu yajulikanayo kama ‘Chronic Obstructive Pulmonary Diseases” (COPD) yakiwemo pumu, kifua kikuu na …?(emphysema). Magonjwa haya uhashiriwa na upungufu wa umahiri wa ubadilishaji wa hewa katika mapafu; ugumu wa kutoa hewa chafu ya carbon katika mapafu na uchukuaji wa hewa oxygen. Hii hujitokeza pale mgonjwa anapojihisi ugumu wa kuvuta hewa hasa wakati wa shughuli au mazoezi. Mbali na magojwa sugu ya mapafu,uvutaji wa sigara watupelekea saratani za aina mabalimbali kama :- Saratani ya mapafu Saratani ya njia ya chakula (umio au esophagus) Utumbo, Njia ya kutolea uchafu mwilini, Ini,figo na njia ya mkojo Kigosho, tumbo na koromeo. Uvutaji wa sigara waweza kupunguza uwezo wa