Shirika la African American Health Program lakuletea; huduma, mafunzo na vifaa vya kukabiliana na ugojwa wa kisukari February 1 st 2107, February 8 th , 2017, February 15 th , 2017 Saa 12 kamili jioni hadi saa 2 usiku White Oak Recreational Center 1700 April Lane Silver Spring, MD 20904