HUC - Help for Underserved Communities HUC- USA; Shirika Lililoanzishwa na Wanadiaspora waTanzania Likiwa Mstari wa Mbele Katika Kutoa Huduma ya Elimu kwa Vijana Wahitaji Nchini Tanzania
Help for Underserved Communities Inc. (HUC) –USA imewapatia ufadhili vijana 22 wa kozi mbalimbali za ufundi katika Chuo cha Mafunzo ya Ufundi(VETA), Tanzania kwa mwaka 2015. Kati ya wanafunzi hao 22, wanafunzi sita wanatoka kwenye vituo vya kulea yatima, ikiwemo wanafunzi wawili kutoka Lady Queen of Africa Orphanage ya Kurasini Convent, Albino Charity Organisation ya Buhagija, Shinyanga na Yatima School ya Chamazi, Dar-es-Salaam, Tanzania.
2015 HUC Scholarship recipients completing admission forms for VETA. | Vijana wanaofadhiliwa na HUC wakijaza fomu za kujiunga na kozi mbalimbali za ufundi VETA, jijini Dar es Salaam hivi karibuni. |

Kwa Maelezo zaidi pita anuwani ifwatayo;

Comments
Post a Comment