TANO LADIES NA AWCAA WAKABIDHI MAMMOGRAM MASHINE KWA MHE.MAMA SALMA KIKWETE ITAKAYOSAIDIA UCHUNGUZI WA SARATANI YA MAZIWA NCHINI TANZANIA.
Mhe.mama Salma Kikwete Akutana na wanaharakati Kinadada wa TANO LADIES ambao wamekuwa daraja kubwa la usakaji na upatikanaji wa machine ya Mammogram itakayosaidia maelfu ya kina mama nchini Tanzania.

Mhe Mama Salma akipokea machine ya Mammogram kutoka kwa Mwenyekiti wa taasisi ya African Women Cancer Aweareness Association.

TANO LADIES na Wawakilishi wa AWCAA katika picha ya pamoja

TANO LADIES na timu TEAM TANZANIA ya kupambana na Saratani ya maziwa nchini US Washington Dc.
Mwanzilishi wa Blog ya NesiWangu akiwaunga mkono Kinadada wa TANO LADIES katika jitihada zao za kuboresha upatikanaji wa huduma muhimu za afya nchini Tanzania.

Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa TANO LADIES Madam Asha Harriz

Mama Salma Kikwete akiwa na Vice-chair wa TANO LADIES Madam Asha Nyanganyi

Mama Salma Kikwete na Public Relation & Coordinating Officer wa TANO LADIES Madam Tumaini Kaisi Katule.

Mama Salma Kikwete akiwa na Tressure wa TANO LADIES Madam Juster Mtakyelo

Mama Salma Kikwete akiwa na Media officer & Secretary wa TANO LADIES Madam Iska Jojo .


Kikao kifupi kilichoongelea hali halisi ya saratani ya maziwa na uhaba wa mashine za ufumbuzi wa mapema kama Mammogram huko barani Africa.
Shukrani;Images
Iska Jojo/
Comments
Post a Comment