Skip to main content
NINI HASA FAIDA ZA MAZOEZI ?


  • Kupunguza cholesterol mbaya mwilini,hivyo kupunguza hatari za magonjwa ya moyo   
  • Kupunguza blood pressure na hatari zake eg. stroke
  • Control  kisukari (diabetes)
  • Kuimarisha utendaji wa  moyo  na mapafu
  • Kupunguza mwili
  • Kuimarisha misuli ya mwili
  • Kupunguza kasi ya kupoteza  uhimara wa mifupa ( slows loss of bone mass) ‘osteoporosis’
  • Kurahisisha usagaji na mzunguko wa chakula
  • Kupunguza msongo wa mawazo au uzuni (depression and stress)

Shukrani;
Washington Hospital Center
Fierceforblackwomen.com/

Comments