Skip to main content

Posts

HABARI KWA ALIYE NA TATIZO LA AJIRA KWA HISTORIA YA KUVUNJA SHERIA HII INAKUHUSU.

KAMA UMEKUWA NA TATIZO LA AJIRA KWA HISTORIA YA KUVUNJA SHERIA HII INAKUHUSU.

HABARI KWA WAKAZI WA KATA YA MONTGOMERY WENYE UHITAJI WA KUMWONA DAKTARI

HABARI HII NJEMA NI  KWA  WASIO NA BIMA YA AFYA, WAKAZI WA KATA YA MONTGOMERY KWA KIPINDI  KISICHOPUNGUWA MIEZI SITA .  HUDUMA HII HAITOLEWI KWA WALIO KATIKA VISA ZA KUTALII  au VISA AMBAZO BADO ZIKO KATIKA MUDA WAKE. Wasiliana nasi  kwa kutuma text Tel;240 672 1788 Image; www.gettyimages.com

PATA PRESCRIPTION MEDICATION KWA BEI NAFUU!

Bofya: goodrx.com   Fua ta hatua zifuatazo; Jina kamili la dawa  Zip code Chagua Milgram na Idadi ya  dawa kifuatia agizo la daktari  Print coupon Wasilisha katika pharmacy ya anwani  husika FUATA HATUA SAHIHI ZA  UTUMIAJI  WA DAWA DAWA SAHIHI;  Dawa huweza kuwa na majina yanayokaribiana hivyo kuwa mwangalifu na kusoma kila mara DOZI SAHIHI; Vifo vingi husababishwa na utumiaji wa dawa kwa kiwango kisicho sahihi. NJIA SAHIHI Ili kuepuka madhara, hakikisha unafuata njia sahihi katika matumizi ya dawa mfano dawa ya kumeza, kupaka au kuchoma sindano itumike ilivyokuwudiwa. ZINGATIA VIPENGELE VIFWATAVYO; Dawa ya kumeza isiyoruhusiwa kutafunwa au kuvunjwa,  Dawa inayotakiwa kutafunwa Dawa inayohitaji kutumiwa na chakula Dawa inayohitaji kutumiwa na kiwango kikubwa cha maji Dawa inayohitaji kutumiwa kwa muda maalum kabla au baada ya chakula  Dawa, vyakula au viywaji vya kuepuk...

Harambee: Partnering for Global Health

Today is the last day for early registration pricing and diaspora registration sponsorship. If you have not yet registered for the 2016 Global Health Catalyst Summit@ Harvard, take advantage of early bird registration which ends Feb29th .   http://www.globalhealthcatalystevents.org/

African Diaspora Leaders Policy Briefing.

                                                                      FULL HOUSE IN THE WHITE HOUSE It was a chilly morning Feb 22nd, 2016 where leaders of the African Diaspora Communities, members of civil society, faith based organizations and other community stakeholders, gathere d in the White House for a morning of Policy Briefing. Reported by the Chief of Staff, Office of Public Engagement and Intergovernmental Affairs Ms. Yohannes Abraham , was the importance of strengthening U.S.- Africa Relation and Partnership in developing human capacity whereby individuals, organizations, public and private sectors are equipped with tools to develop and achieve social and economic goals in order to sustain development. One significant issue on policy briefing was the issue of Public Safety. Public Saf...

COME PREPARED AND ASK QUESTIONS,YOUR VOTE IS YOUR VOICE !.