HUDHOOFISHA UTENDAJI WA MFUMO WA KUPUA
Uvutaji wa sigara na mazingira yaliyokuwa na moshi wa sigara ( second hand smoke) hujulikana kwa maafa yake ya husababisha magonjwa sugu ya mapafu yajulikanayo kama ‘Chronic Obstructive Pulmonary Diseases” (COPD) yakiwemo pumu, kifua kikuu na …?(emphysema). Magonjwa haya uhashiriwa na upungufu wa umahiri wa ubadilishaji wa hewa katika mapafu; ugumu wa kutoa hewa chafu ya carbon na kuchukua hewa oxygen . Hali hii uashiriwa na ukosefu wa pumzi na hasa wakati wa shughuli mfano; kutembea,kupanda ngazi nk.
Mbali na magojwa sugu ya mapafu,uvutaji wa sigara wajulikana kwa kusababisha saratani ya mapafu na saratani za aina mbali mbali mwilini :-
- Saratani ya mapafu
- Saratani ya njia ya chakula au umio
- Utumbo
- Njia ya kutolea uchafu mwilini,
- Ini,figo na njia ya mkojo
- Kigosho na koromeo.
Uvutaji wa sigara hupunguza uwezo wa uzazi kwa mwanamke na kuharibu afya ya mtoto kabla ya kuzaliwa

- Kuzaliwa kwa mtoto ambaye hajatimia siku za kuzaliwa(premature)
- Kufariki kwa mtoto kabla ya kuzaliwa akiwa tumboni (stillbirth)
- Mtoto mwenye uzito mdogo au chini ya kipimo wakati wa kuzaliwa
- Kifo cha ghafla kwa mtoto mchanga ( sudden infant death syndrome; SIDS)
- Mimba iliyojipachika nje ya kizazi (Ectopic pregnancy)
- Mtoto mwenye hitilafu sehemu za midomo
ZITAKAPO MDOMO (CLEF LIP ) |
UZITO PUNGUFU WAKATI WA KUZALIWA ( Low birthweight <5.5 pounds) |
- Kuharibu mbegu za kiume na kupunguza nguvu ya uzazi.
- Kupoteza mimba changa
- Kuzaa kabla ya mimba kutimiza siku
- Uhafifu wa afya ya mifupa pamoja na afya duni ya meno
- Ongezeko la hatari zaidi za stroke na magonjwa ya moyo mara 2 hadi 4
- Upofu wa macho, Burgeres disease, na madhara menginemengi yanayotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya katika sehemu hizo.
BURGERS DISEASE |
Shukrani: Thanks
http://ahealthylifefitness.blogspot.com/
DR M.A. ANSARY/SCIENCE PHOTO LIBRARY
http://www.cdc.gov/tobacco/campaign
funmasti1.blogspot.com
www.kaskus.co.id - 34Burgers Disease
article.wn.com
aboutbabyarticle.blogspot.com
http://www.ncbi.nlm.nih.gov/pubmed/2644816
Comments
Post a Comment