TOFAUTI KATI YA MAPAFU YA MVUTA SIGARA NA ASIE MVUTA SIGARA HUDHOOFISHA UTENDAJI WA MFUMO WA KUPUA Uvutaji wa sigara na mazingira yaliyokuwa na moshi wa sigara ( second hand smoke) hujulikana kwa maafa yake ya husababisha magonjwa sugu ya mapafu yajulikanayo kama ‘Chronic Obstructive Pulmonary Diseases” (COPD) yakiwemo pumu, kifua kikuu na …?(emphysema). Magonjwa haya uhashiriwa na upungufu wa umahiri wa ubadilishaji wa hewa katika mapafu; ugumu wa kutoa hewa chafu ya carbon na kuchukua hewa oxygen . Hali hii uashiriwa na ukosefu wa pumzi na hasa wakati wa shughuli mfano; kutembea,kupanda ngazi nk. Mbali na magojwa sugu ...