KAMATI YA AFYA YA WATANZANIA DMV, YAWALETEA
HUDUMA YA AFYA YA MENO KUTOKA KWA MWANADIASPORA MTANZANIA AMBAYE NI MMILIKI WA AVATAR DENTAL CLINIC "DR. TAALIB ALI"
DR. TAALIB NI MWANADIASPORA ALIYEGUSWA KUSAIDIA JAMII ZA WAHAMIAJI KUPATA HUDUMA YA MENO KWA BEI NAFUU.
DR. TAALIB AMEAHIDI KUTOA HUDUMA HII
50% OFF KWA KILA MTANZANIA

Dr.Taalib katika jengo la Avatar Dental Clinic

Dr.Taalib na muhudumu wa Avatar Dental Clinic
KAMATI YA AFYA YA WATANZANIA DMV, YAWALETEA
HUDUMA YA AFYA YA MENO KUTOKA KWA MWANADIASPORA MTANZANIA AMBAYE NI MMILIKI WA AVATAR DENTAL CLINIC "DR. TAALIB ALI"
DR. TAALIB NI MWANADIASPORA ALIYEGUSWA KUSAIDIA JAMII ZA WAHAMIAJI KUPATA HUDUMA YA MENO KWA BEI NAFUU.
DR. TAALIB AMEAHIDI KUTOA HUDUMA HII
50% OFF KWA KILA MTANZANIA
Dr.Taalib katika jengo la Avatar Dental Clinic |
Dr.Taalib na muhudumu wa Avatar Dental Clinic |
Avatar Dental Clinic hutoa huduma hata kwa watoto |
KARIBUNI NYOTE
UONGOZI DMV
ASANTE SANA
545 G. East Market Street
Leesburg, VA 20176
703-669-8600
Shukrani;Images
Avatar Dental Care
ATC Metro DC.
ATC Metro DC.
Comments
Post a Comment