Skip to main content

NesiWangu KATIKA SIKU YA MAADHIMISHO YA KUTIMIZA MIAKA MIWILI TOKA KUANZISHWA KWA "TANO LADIES".


Mwanzilishi wa NesiWangu, Madam Harriet Shangarai,  akiwakumbushia Wanadiaspora umuhimu wa kuthamini afya zao  na kutambua jukumu lao katika maendeleo ya jamii .







Mjasiriamali maarufu kutoka Dar es salaam  Madam 'Aika Lawere', akizungumza na Wanadiaspora katika Ufunguzi wa sherehe hizo.





Mtunzi wa kitabu cha mapishi   "The Taste of Tanzania"  Madam Miriam Kinunda, akizungumza na Wanadiaspora katika ufunguzi  huo.




Mwanzilishi wa shirika la Help Underserverd Communities (HUC),  Madam 'Zawadi Sakapalla' akieleza malengo  na mafanikio makubwa ya shirika lake.


              Mafunzo ya fedha katika familia yalitolewa kwa Wanadiaspora




Wageni waalikwa wenye shirika la kutoa mafunzo na huduma za Saratani ya Maziwa  Africa Women Cancer Organization (AWCA) wakizungumza katika shughuli hiyo.



 Viongozi wa Jumuiya ya DMV Iddy Sandaly na Liberatus Mwang'ombe wakiunga mkono juhudi za TANO LADIES na wanawake kwa ujumla.


              Picha ya pamoja na TANO LADIES wanaotuwezesha katika jamii ya DMV







                   Juhudi za kina mama zikiungwa mkono na kina baba wengi DMV










Shukrani;
SwahiliVilla Blog
Iska Jojo


Comments