Mbali na mchango wake wa nadharia katika kitengo cha malezi ya afya, Florence Nightingale alipewa jina la “ The Lady with a lamp” kwa umaarufu wake wa kubeba taa ya chemli na kutembea usiku wa manane akishughulika na majeruhi wa vita vya Crimean mnamo mwaka 1853 – 1856.
Leo pia, ni vyema tuwakumbuke watabibu wa jadi waliojitolea kutibu wagojwa kwa dawa za miti shamba na kutoa huduma ya ukunga.Japo hatuwatambui kwa majina, tunawapongeza kwa maarifa na kazi nzuri waliofanya katika mazingira ya nyakati zile.
KAZI YA MANESI NI KAZI YENYE CHANGAMOTO NYINGI;
KAZI YA MANESI NI KAZI YENYE CHANGAMOTO NYINGI;
Kutokana na uhaba wa manesi,wengi wao hulazimika kufanya kazi zaidi ya masaa kumi kwa siku.
Baadhi yao hulazimika kufanya kazi ktk mazingira hatarishi kutokana na ukosefu wa vitendea kazi na hivyo kuhatarisha afya zao.
![]() |
Kazi ya Unesi ni WITO, Manesi wanatakiwa kuwa watu wenye Upendo, Ujasiri na Uvumilivu. |
Comments
Post a Comment