Skip to main content

Posts

Utafiti wa Afya ya Wanawake, Chuo Kikuu cha Johns Hopkins, Baltimore.

             Muda umeongezwa zaidi hivyo usisite kuwasiliana nasi kupitia   240 672 1788 Ni muhimu kushiriki ili kupata utenguzi wa changamoto zetu. Shukrani ndogo ya zawadi, thamani ya dola 70 itatolewa utakapomaliza kujibu maswali. Utafiti huu,hauhitaji usafiri na hivyo isiwe kizuizi kwako Asante Sana

SHINIKIZO LA DAMU

Shinikizo la damu hujullikana kama ' Silent Killer' kwani ni wengi wenye tatizo hili na huishi nalo hata miaka paasipo kulitambua. Shinikizo la damu hutuweka katika hatari za kiharusi (stroke), mshituko na hata kushidwa kwa moyo (heart attack and/or heart failure), upofu wa macho, pamoja na kushindwa kwa figo ambayo kazi yake kubwa ni kuchuja uchafu mwilini.   Ili kugundua tatizo la shinikizo la damu mapema, ni budi kupata kipimo na kujenga tabia ya kujichunguza mara kwa mara . Uchunguzi na ufumbuzi wa mapema husaidia kupunguza madhara yatokanayo na shinikizo la damu. Baadhi ya dalili chache pale tatizo hili linapozidia ni pamoja na; maumivu ya kichwa,  kizunguzungu, kichefuchefu, uhafifu wa kuona, kupoteza uwezo wa kutambua na hata kuzimia.  Shinikizo la damu uhashiria kishindo au kipondo cha mzunguko wa damu katika kuta za mishipa mwilini. Kipondo hicho kinapokuwa kikubwa kwa muda mrefu, hupeelekea kudhoofika kwa mish...

PATA DAWA ZA PRESCRIPTION KWA BEI NAFUU

Bofya: goodrx.com   Fua ta hatua zifuatazo; Jina kamili la dawa  Zip code Chagua Milgram na Idadi ya  dawa kifuatia agizo la daktari  Print coupon Wasilisha katika pharmacy ya anwani  husika FUATA HATUA SAHIHI ZA  UTUMIAJI  WA DAWA DAWA SAHIHI;  Dawa huweza kuwa na majina yanayokaribiana hivyo kuwa mwangalifu na kusoma kila mara DOZI SAHIHI; Vifo vingi husababishwa na utumiaji wa dawa kwa kiwango kisicho sahihi. NJIA SAHIHI Ili kuepuka madhara, hakikisha unafuata njia sahihi katika matumizi ya dawa mfano dawa ya kumeza, kupaka au kuchoma sindano itumike ilivyokusudiwa. ZINGATIA VIPENGELE VIFWATAVYO; Dawa ya kumeza isiyoruhusiwa kutafunwa au kuvunjwa,  Dawa inayotakiwa kutafunwa Dawa inayohitaji kutumiwa na chakula Dawa inayohitaji kutumiwa na kiwango kikubwa cha maji Dawa inayohitaji kutumiwa kwa muda maalum kabla au baada ya chakula  Dawa, vyakula au viywaji vya kuepuk...

THE ROLE OF THE DIASPORA IN ENHANCING HEALTHCARE AGENDA AT A GLANCE Saturday November 11, 2017

http://www.dicotaus.org/ events/ http://dicotaus.org/wp- content/uploads/2017/10/ DICOTA-Health-Forum-Agenda-at- a-Glance- http://www.dicotaus.org/ events/ http://dicotaus.org/wp- content/uploads/2017/10/ DICOTA-Health-Forum-Agenda-at- a-Glance-

GLED SUMMIT

https://www.eventbrite.com/e/global-leadership-empowerment-and-diversity-summit-gleads-tickets-35525818680?utm-medium=discovery&utm-campaign=social&utm-content=attendeeshare&aff=escb&utm-source=cp&utm-term=listing

THE ROLE OF TANZANIA 'S DIASPORA IN IMPROVING HEALTHCARE

                                    For more info click http://dicotaus.org/dicota-health-forum/                                                                 For more info click  http://dicotaus.org/dicota-health-forum/                              

USIKOSE HUDUMA YA AFYA BURE KUTOKA KWA WATAALAMU