Skip to main content

Posts

YAMEBAKI MASAA MACHACHE KUPATA HUDUMA YA MENO KWA BEI NAFUU.

HUDUMA YA MENO KWA 50% OFF INAFIKIA KIKOMO JUMATATU TAREHE 1/6/2015 SAA 6:00 USIKU SHUKURANI ZA DHATI KWA DR. TAALIB ALI WA AVATAR DENTAL CARE 545 G. East Market Street Leesburg,VA 20176 TEL# 703-669-8600 Dr.Taalib katika jengo la Avatar Dental Clinic Dr.Taalib Ali Avatar Dental Clinic hutoa huduma hata kwa watoto                                                            Machine ya X-ray na ya  kuua vijidudu                                                                                     ...

SHIRIKA LA ROTAPLAST INTERNATIONAL LAKULETEA UPASUAJI WA BURE KATIKA HOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA - TANZANIA

  Shukrani;  Rotaplast Images;  www.bourgetfoundation

Global Health Catalyst Participation Opportunity

Att.African Diaspora We are currently exploring an opportunity for African Diaspora Members to partner with the Dana Farber / Harvard Cancer Center. If you are interested in getting involved please send  e-mail to  lasana @aracor poration.org with the answers to the two questions below: Would you be willing to partner with the Dana Farber/Harvard Cancer Center global health catalyst program in the fight against cancer in Africa?   In what areas would you be able to collaborate: Outreach (e.g. Advocacy, resource mobilization, awareness etc); Education/training;  research;  Clinical care; Other (please list all that apply and  include any details or descriptions you would like to share with us )                For more Info. For the 2015 GHC Summit Committee http://www. globalhealthcatalystevents.org http://www. globalhealthcatalystevents. org/#!presentations/ct6z http://www. globalhealthc...

TEAM TANZANIA YASHIRIKI MATEMBEZI YA SUSAN G.KOMEN WASHINGTON,DC

TIMU TANZANIA YASHIRIKI MATEMBEZI YA SUSAN G. KOMEN WASHINGTON, DC Timu Tanzania ikipata picha ya pamoja kabla ya kuanza matembezi ya saratani ya matiti ya Susan G. Komen yaliyofanyika Washington, DC siku ya Jumamosi May 9, 2015. Wanusurika wa saratani ya matiti wakipata picha ya pamoja. Matembezi yakianza. Kushoto ni msaniii toka uingereza Matt Goss aliyeimba wimbo maalum wa Strong kwa ajili ya matembezi haya ya Susan G. Komen ambaye mwaka jana mama yake mzazi alifariki kutokana na maradhi ya saratani ya matiti akipeana mkono na watembeaji wa saratatani ya titi. Kati ni Nancy G. Brinker mdogo wake Susan G. Komen akipeana mkono na watembeaji siku ya maadhimisho ya matembezi ya saratani ya matiti kwa kumuenzi dada yake kwa kuanzisha oganaizesheni ya kupigana na gonjwa hili hatari mwaka 1982 kama ahadi aliyomwekea dada yake. Mmoja ya watembeaji na mnusurika wa saratani ya titi akipatiwa huduma ya kwanza na watembeaji wenzake baada ya kuanguka na kupata majeraha kwenye paji...

HUDUMA YA MENO KWA 50% OFF INAFIKA KIKOMO.

Dr.Taalib katika jengo la Avatar Dental Clinic Dr.Taalib Ali Avatar Dental Clinic hutoa huduma hata kwa watoto                                                            Machine ya X-ray na ya  kuua vijidudu                                                                                                Dr. Taalib akiwa Kazini 545 G. East Market Street Leesburg,VA 20176 703-669-8600 Shukrani;Images Avatar Dental Care

FIMBO YA KISASA YA KUTEMBELEA

Fimbo ya kutembelea yaweza tumika na wazee au mtu wa umri wowote mwenye uhitaji  wa kuimarisha msingi kabla ya kupiga hatua ili kupunguza  atari za kuanguka. Vilevile, fimbo husaidia  kupunguza uzito unaotua katika viungo vya mwili kama magoti ,mgongo na hips. Uzito wa mwili huongeza mwelemeo na maumivu hasa kwa watu wenye arthritis, maumivu ya mgongo na maumivu mengine ya viungo. Fimbo hii huweza kukunjika na kukaa ndani ya mkoba Fimbo ya kutembelea hutakiwa kuwa na urefu wa kutosha ili kuepuka kuinama na kuumiza mgongo. Urefu  sahihi ni ule unaofika eneo la kiuno kwa mtu anayeitumia Watu wenye tatizo la usawa (balance ) huitaji mwangaza wa kutosha ili kupunguza atari za kuanguka. Fimbo hii ina taa yenye mwangaza wa kutosha kuona unapokwenda Waweza pata fimbo ya kutembelea katika duka lolote la vifaa vya afya.  Fimbo yenye taa huondoa kadhia za kubebana na tochi. Ni vyema mkono uwe huru kusaidia mtu...

Global Health Catalyst Cancer Summit @ Harvard Medical School 2015.

Mhe.Liberata Mulamula Balozi wa Muungano ya Jamhuri ya Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula, alipozungumza  katika kongamano  la mapambano dhidi ya gojwa la saratani duniani, aliwataka wanaDiaspora wa nchi za kiAfrika kuwa mstari wa mbele kwa kushirikiana na watalaamu wa vitengo vya afya duniani ili kuboresha upatikana wa huduma za afya barani Afrika. Mhe. Balozi Mulamula, ambaye pia ndie aliyekuwa mgeni rasmi katika kongamano hilo alizungumzia faida za kutumia Teknolojia  ili kuboresha mawasiliano kati ya wataalam, utafiti na  elimu .  Nia mojawapo ya  kongamano la Global Health Catalyst Cancer Summit 2015 ni kuboresha huduma mahiri za saratani barani Afrika kwa  kutumia ( Information and Communication Technologies (ICTs); Teknolojia ya mawasiliano kati ya wataalam wa gojwa la saratani wa nchi za nchi za ng'ambo  na wataalam waliopo barani Afrika. Mhe. Balozi L. Mulamula, alikabidhi Tunzo Maalum kwa Bigwa wa Tiba ya Saraatani Dr...