Mobile Med ni huduma ya afya iliyo chini ya Montgomery Cares, yenye kutoa huduma ya afya kwa wakazi wasio na bima ya afya . Huduma hii haitolewi kwa wale walio na visa za matembezi ya muda mfupi ( Hii ni kuepuka ugeni unaokuja nchini kwa nia ya kutumia mfumo bila kuchangia). Kuna imani kwamba, wale walio na visa zilizopitiliza muda wake, kwa namna moja au nyingine wanafanya kazi japo kinyume cha sheria na mapato yao huchangia mfumo kwa ujumla. Huduma hii hutolewa kwa zamu na madaktari mbalimbali kutoka mahospitali makubwa kwa bei ndogo na yenye kuendana na kipato. Mabingwa hawa ni wa magojwa mbalimbali na pia hutoa rufaa pale inapobidi kwa hospitali za Shady Grove Adventist, Washington Adventist na Suburban. Baadhi ya simu za vituo hivi ni (301) 493-2400, (301) 493-2400 Pitia www.mobilemedicalcare.org VITUO VYA MOBILE MED Aspen Hill Clinic (Van) St. Mary Magdalene Church 3820 Aspen Hill Rd Aspen Hill, MD ...
Community Health Innitiaves