Childbirth Survival International Tanzania inakuleta mafunzo ya juu ya kuendeleza taaluma ya Ukunga ili kuboresha huduma kwa mama mjaa mzito, watoto wachanga na familia kwa ujumla. [ Respectful Maternity Care (RMC)]. Wahi kujiandikisha kupitia Stella Mpanda +255 754 432 584