Osteoporosis ni ugojwa sugu wa mwili kujitafunia virutubisho vilivyo kwenye mifupa na kuvitumia kwa mahitaji yake.Hii husababisha upungua wa umahiri wa mifupa(bone density) kuifanya iwe hafifu na kumegeka. Ugojwa huu huitwa “ silent disease’ kwani mara nyingi hujulikana tu pale mtu anapoanguka na kuvunjika (kwa urahisi sana au kupata fructure ) tofauti na mtu asiye na tatizo hili. UNDANI MDOGO KUHUSU OSTEOPEROSIS Mifupa ya mwili kwa wakati wote huwa na mabadiliko ya kujingeka, ...
Community Health Innitiaves